Dhehebu ya kupeleka Sadaka ni Romani Catolik pekee yake, mengine ni Chawa Pro.

Karibu vituo vyote vyakulelea YATIMA nilivyo pata nafas yakuvitembelea kanisa limepiga hatua kubwa vituo vingi vina maradhi safiiii ,, KIAFYA,,KIELIMU,,MARADHI KWA UJUMLA watoto wapo kwenye mazingira rafiki ,, SADAKA ZA ROMAN HAZIPOTEI OVYO,,
Wale wana hadi Wahasibu
 
Toa Roman pekee, mengine ni utapeli mkubwa sana
 
Yani SDA 99.99%mahubiri yao yote ni kuhusu Katoliki🤣🤣🤣🤣 wanachekesha hasa sijui inawasiadia nn kama kanisa
 
Hapana ... kumbuka tec waliwahi mlima jiwe waraka. Kumbuka vizuri
Hizi waraka zao zinasaidia nini? Mbona ccm wameendelea kufanya upuuzi pamoja na mawaraka kibao?
 
Hilo kanisa limejaza warundi linawaita maaskofu
 
Toa Roman pekee, mengine ni utapeli mkubwa sana
Your opinions are not different from that of a suicide bomber.

Mtazamo wako ni sawa na ule wa mshambuliaji wa kujitoa mhanga.

Huu mtazamo wa kutetea imani yako tu ya "ukatoliki" na kuona imani za watu wengine ni utapeli, Hauna tofauti na wale waislamu wenye itikadi kali za kijihadi. Al Shabaab, IS, Al-Qeida.
 
Mimi nilikuwa sda
1. niliacha kusali mara baada ya kuleta mambo ya kipagani ya kubandika majina ya waliochangia na wasio changia sadaka .ujumbe sadaka yoyote ni Siri tuache upagani wa kubandika majina ya watu .tuache mungu ashghu ashughulike na mioyo ya watu
2.Wa sda Ellen white ukiquestion mafundisho yake teyari watakukaripia .mafundisho yenyewe tafiti yanaonyesha Yako plagiarized.nikipata muda nitawatumia iyo tafiti
 
Yani SDA 99.99%mahubiri yao yote ni kuhusu Katoliki🤣🤣🤣🤣 wanachekesha hasa sijui inawasiadia nn kama kanisa
Siyo kweli kwamba SDA wanahubiri Catholic,ila wanakosoa mafundisho ya uongo ndani ya kanisa Catholic
Mfano kumuita Papa baba mtakatifu na kuomba Mungu kupitia Mariamu badala ya Yesu,
Anyway kila kanisa lina misingi yake ya Imani
 
Hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…