Dhehebu ya kupeleka Sadaka ni Romani Catolik pekee yake, mengine ni Chawa Pro.

Karibu vituo vyote vyakulelea YATIMA nilivyo pata nafas yakuvitembelea kanisa limepiga hatua kubwa vituo vingi vina maradhi safiiii ,, KIAFYA,,KIELIMU,,MARADHI KWA UJUMLA watoto wapo kwenye mazingira rafiki ,, SADAKA ZA ROMAN HAZIPOTEI OVYO,,
Sahihi
 
Turudi zetu kanisa moja la Bwana Kanisa Katoliki, i don't like the bikira Maria stuff but i can tolerate it.

Ujinga umekuwa mwingi nchi hii.
Hahaha, nilivyokuwa mdogo hata mimi mambo ya Bikira Maria yalikuwa yananikwaza sana. Nilichukia kanisa kwa sababu ya mambo hayo na mengine madogo madogo. Baadae nilikuja kuelewa na nimekuwa nikiwaelewesha watu wa makanisa mengine. Kinacho kusumbua ni nini Mkuu, zile sanamu au Salam Maria....., utoombee ..?
 
Siyo kweli kwamba SDA wanahubiri Catholic,ila wanakosoa mafundisho ya uongo ndani ya kanisa Catholic
Mfano kumuita Papa baba mtakatifu na kuomba Mungu kupitia Mariamu badala ya Yesu,
Anyway kila kanisa lina misingi yake ya Imani
SDA hakuna uongo? SDA hawaambii waumini wao kwamba Eleg G White ndie muasisi wa SDA church mwaka 1863, hili hawaambii kabisa, wasabato wanajua SDA ni kanisa alilo kuwa anasali Mungu na Yesu
 
Waanamini Elen G white ni nabii, ilihalu yeye ni Muasisi wa SDA church mwaka 1863, sasa waambie wasabato kwamba kanisa lao lili asisiwa na Elen G White na Wabana ake na Jamaa mwingine wakiwa watatu.

Wanaaminshwa kwamba kanisa la SDA ndio hata Mungu alisali na pia Yesu
 
Kwa hiyo RC ndio waliomtuma lissua kuanzisha uasi nchini?
Uasi gani wewe mjinga? Wewe ni Chawa uchwara tu, na wenzako Chawa Pro Max wanakula kuku kwa mirija na hawako hata humu Jf, endelea na Uchawa Uchwara wako.
 
Hawa RC kipindi cha JIWE walikausha kimya kama hakuna kinachoendelea
Uwe unauliza possibly ulikuwa busy na shule JPM aliamua kusali sometime kwa Mzee wa Upako.
Nazani tunaweza kuweka hoja vizuri bila kugusa ueledi wa Kanisa.
 
Uwe unauliza possibly ulikuwa busy na shule JPM aliamua kusali sometime kwa Mzee wa Upako.
Nazani tunaweza kuweka hoja vizuri bila kugusa ueledi wa Kanisa.
Kanisa limekua likitoa matamko marakwamara lakini serikali haijali, kwanini kanisa haliendi mbele zaidi?
 
Kanisa limekua likitoa matamko marakwamara lakini serikali haijali, kwanini kanisa haliendi mbele zaidi?
Kazi ya kanisa ni kutoa maoni sio vinginevyo
 
Hawa RC kipindi cha JIWE walikausha kimya kama hakuna kinachoendelea

Mwongo mkubwa. Ule waraka uliosababisha wawekewe kodi mpaka kwenye vitu vya ibada, uliandika wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…