DHL Tanzania badilikeni!

DHL Tanzania badilikeni!

Wakuu wekeni hapa jukwaani hizo office zao zilipo na majina ya hao watu wanaojibu mbovu wateja wao then from there we will do something.
 
Moshi ni balaa Zaidi..Kwanza Office mbovu..Kila ukifuatilia mzigo Visingizio kibao computer mbovu..Mimi walifanya mawasiliano Dar kwa kutumia simu yangu ya mkononi..

Wabadilike kiutendaji ni hovyo sana..
 
Ni vyema uanzishe maana hawa watu wamekuwa ni kero sana kwetu wewe mkuu anzisha tu bana
wakuu mi na mpango wa kuanzisha kampuni ya usafirishaji vifurushi kwa hpa hpa tanzania yaan dar na mikoani naombeni mawazo yenu,!!
 
Yaani hawa watu wanakera sana mzigo unatoka tu nchi jirani hapo kenya lakini utakaa kwao wiki tatu halafu ndo waanze taratibu zao za kukuleta na masumbufu kibao utadhani unangoma za kiasili
isitoshe wale wafanyakazi wao wana lugha ambazo haziridhizish i kabisa hawajui namna ya kumhandle mteja
 
  • Thanks
Reactions: prs
DHL Tanzania ni janga mkuu. Niliwahi kuagiza dawa za mgonjwa aliyekuwa mahututi (via hospitali moja mashuhuri) kutoka USA kwa haraka sana. Yaani nililipa karibu dola $500 kwa ajili ya usafiri tu wa overnight. Kufika Dar sasa kazi ndo ikaanza. Hospitali wakaniomba eti nikazichukue mwenyewe mweeh. Mara kompyuta mbovu. Mara initial ya receiver (Mr, Mrs, Dr...) sijui haipaswi kuwepo na ujinga mwingine. Mwishowe uzalendo ukanishinda nikawaambia kwamba kama mgonjwa wangu angeRIP ningewa-sue huko huko wanakotoka na wangenilipa mamilioni. Hazikupita hata dk. 30 nikapewa dawa. Mgonjwa akaziwahi, operesheni ikafanyika na Inshallah akapona.

Kwa ujumla mambo ya customer service sisi bado sana. Utakuta mpaka kimtu kilicho counter tu lugha chafu. Inasikitisha sana kwa kweli!
 
Pole sana mkuu,

Ubovu wa huduma kwa wateja nchi hii ni kama unafanyiwa 'msaada'. Halafu hawa wafanyakazi wa chini(wenzangu na mimi), wakitambua ni mzigo wa mkubwa utasikia "mbona hukusema".
 
Hawa DHL ni hatari wanahujumu uchumi wa nchi.Mzigo ukibakia customs kwa ajili ya kulipia duties wanatengeneza dicuments fake na wanakutaka ulipe pesa halafu wanakupa mzigo.Kamishna wa customs hii kampuni ifungiwe...kuna wizi mkubwa sana pale airport.Zamani hawa dhl walikuwa na wafanyakazi wazuri lakini kuna manager mmoja alikuja akawafukuzafukuza wale wenye ujuzi.Hizi courier companies ziangaliwe sana.serikali inapoteza pesa nyingi saana.
 
Hii ni kweli, wanatengeneza TIN fake
 
Mkuu, nadhani inabidi tuweke hapa watumishi wa DHL wenye tabia hiyo, na vituo vyao.
 
Dhl makao makuu DAR yapo airport na hapo ndipo ufisadi na wizi wa hali ya juu unafanyika.Wanayo inhouse clearing facility....hii ifungwe haraka kwani ndiyo engine ya wizi wote.Kamishna Bade chukuwa hatuwa haraka
 
Kuna jamaa anaongeaa pale countr sijui mzaramo dah nomaaa
 
Ukitaka balaa Lingine, Jaribu UPS hapo ndo unaweza piga mtu kabisa,
 
Vipi wakuu hao DHL wameshabadilika au bado wanafanya kazi kimazoea??
 
Vipi huduma za DHL kwa sasa na wenye uzoefu kutuma mizigo nje ya Tanzania kuna usumbufu wowote ukitumia DHL.
 
wakuuu nataka kutuma barua/parcel kwenda South korea
njia ya uhakika ni ipi na je gharama zake zikoje?
 
Back
Top Bottom