Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu wekeni hapa jukwaani hizo office zao zilipo na majina ya hao watu wanaojibu mbovu wateja wao then from there we will do something.
wakuu mi na mpango wa kuanzisha kampuni ya usafirishaji vifurushi kwa hpa hpa tanzania yaan dar na mikoani naombeni mawazo yenu,!!
DHL Tanzania ni janga mkuu. Niliwahi kuagiza dawa za mgonjwa aliyekuwa mahututi (via hospitali moja mashuhuri) kutoka USA kwa haraka sana. Yaani nililipa karibu dola $500 kwa ajili ya usafiri tu wa overnight. Kufika Dar sasa kazi ndo ikaanza. Hospitali wakaniomba eti nikazichukue mwenyewe mweeh. Mara kompyuta mbovu. Mara initial ya receiver (Mr, Mrs, Dr...) sijui haipaswi kuwepo na ujinga mwingine. Mwishowe uzalendo ukanishinda nikawaambia kwamba kama mgonjwa wangu angeRIP ningewa-sue huko huko wanakotoka na wangenilipa mamilioni. Hazikupita hata dk. 30 nikapewa dawa. Mgonjwa akaziwahi, operesheni ikafanyika na Inshallah akapona.
Kwa ujumla mambo ya customer service sisi bado sana. Utakuta mpaka kimtu kilicho counter tu lugha chafu. Inasikitisha sana kwa kweli!
Hawa DHL ni hatari wanahujumu uchumi wa nchi.Mzigo ukibakia customs kwa ajili ya kulipia duties wanatengeneza dicuments fake na wanakutaka ulipe pesa halafu wanakupa mzigo.Kamishna wa customs hii kampuni ifungiwe...kuna wizi mkubwa sana pale airport.Zamani hawa dhl walikuwa na wafanyakazi wazuri lakini kuna manager mmoja alikuja akawafukuzafukuza wale wenye ujuzi.Hizi courier companies ziangaliwe sana.serikali inapoteza pesa nyingi saana.

Vipi wakuu hao DHL wameshabadilika au bado wanafanya kazi kimazoea??
Vipi huduma za DHL kwa sasa na wenye uzoefu kutuma mizigo nje ya Tanzania kuna usumbufu wowote ukitumia DHL.
Asante, DHL na FedEx unapendekeza ipi