Hahahaha shida mnanielewesha uongokukuelewesha wewe ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa
Huwezi kufikiri nje ya box, huwezi kufikiri ndani ya box, na mbaya zaidi huelewi hata box mahali lilipo. Unafikiriaje kibinafsi hivyo?Unaleta mifano ya Ken gold unasahau
Mifano yako inafurahisha balaa
Licha ya ulaya kuwa na mashindano mengi umewahi ona timu ikawa na viporo 8+
Simba aliwahi lalamika yanga kuwa na viporo vi 4+ unafahamu ni kwa nini?
Kwamba hujui viporo zaidi ya vi 5+ upangaji wa matokeo uko nje nje
Unashangaa yanga kushinda kwa mbinde kwa Ken gold alafu unasahau huyo simba unae sema yuko hot hadi kumfunga Al ahly amepigwa mechi 3 Kati ya 5 na yanga msimu huu
Mkuu nimekwambia wewe unazungumzia kandanda/ ndondo sio soka
Kwamba simba kumfunga Al ahly, kaizer chiefs bas inaondoa uwezekano wa kufungwa na dodoma jiji ( kwa TFF yetu inawezekana)
Kama tu waliweza bumba takwimu Ili kuishusha kagera sugar kisa inamchapa sana simba kwa nini hili lishindikane
Anahitaji tuitionkukuelewesha wewe ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa
Twende na mfano mmoja timu X Imesha shuka daraja ila ina mchezo na timu Y ambayo inawania ubingwaHuwezi kufikiri nje ya box, huwezi kufikiri ndani ya box, na mbaya zaidi huelewi hata box mahali lilipo. Unafikiriaje kibinafsi hivyo?
What kama perceptions za wazungu huko ulaya ni tofauti na wewe jinsi unavyo fikiri?
Timu ambayo inacheza mechi frequently inakua imara zaidi kuliko timu ambayo muda mwingi iko kambi kujiandaa na mechi moja.
Na ndio maana hata nyinyi yanga mlipofungwa mlikua mkijitetea kua hiyo ni kutokana hamkufanya pre-season vizuri, huko pre-season si huwa mnacheza mechi na timu pinzani ku gather experience ili kuwaweka fit?
Sasa kwanini mtumie sababu ya kutoshiriki mechi za pre season kama excuse wakati unajua fika kua timu ikiwa inapasha kambini bila kuwa na mechi za kujipima inajiimarisha zaidi?
Nimekupa room utumie kuonesha namna gani viporo vina changia kumfanya simba kumuweka karibu na ubingwa, umeshindwa.
Afu mbona unajichanganya? Nimekuuliza hiyo dodoma jiji alivyoanza ligi na wenzake ni kwamba wenzake walipewa points za bure yuku yeye akiachwa au ni hussling binafsi?
Kama tangu mwanzo dodoma jiji alikua akifungwa na kukosa points, kwanini uone ishu dodoma jiji akifungwa na simba ambayo inashiriki mashindano makubwa na magumu ambayo nyinyi hamjaweza kutoboa round ya kwanza?
Twende taratibu, Kwenye huo huo mfano kuna maswali kadhaa naomba unijibuTwende na mfano mmoja timu X Imesha shuka daraja ila ina mchezo na timu Y ambayo inawania ubingwa
Swali mchezo kama huu ushindani wake utakuwaje
mfano wa 2 timu A Ina mchezo na timu B wakati huo timu A Ina pointi za kuifanya isiwe kwenye kuwania ubingwa wala kushuka daraja ujakutana na timu B Ambayo inawania ubingwa je ushindani wako ukoje wa hiyo mechi
Kifupi timu X na timu A hazita onesha ushindani maana hawana cha kupoteza wala cha kupata na michezo haitakuwa na ushindani
Kumbuka mechi zote hizi ni za viporo ila bado unanambia viporo havina madhara katika upangaji wa matokeo
Daah kweli kazi ipo
Unaleta uswahili unashindwa jibu maswali unauliza swaliTwende taratibu, Kwenye huo huo mfano kuna maswali kadhaa naomba unijibu
Ilikuwaje mpaka timu X ikashuka daraja?
Ni kwamba huko nyuma ilikua ikifungwa na timu zingine kabla haijakutana na timu Y au siyo?
Mbona tumeishia hapo mzee?Unaleta uswahili unashindwa jibu maswali unauliza swali
Mfano umetoka nilitegemea jibiwa ila hapana naulizwa tena (unaleta janja ya mbuni kufukia kichwa kwenye mchanga
Jibu mfano wangu hapo then uliza swali ntajibu pia