Huwezi kufikiri nje ya box, huwezi kufikiri ndani ya box, na mbaya zaidi huelewi hata box mahali lilipo. Unafikiriaje kibinafsi hivyo?
What kama perceptions za wazungu huko ulaya ni tofauti na wewe jinsi unavyo fikiri?
Timu ambayo inacheza mechi frequently inakua imara zaidi kuliko timu ambayo muda mwingi iko kambi kujiandaa na mechi moja.
Na ndio maana hata nyinyi yanga mlipofungwa mlikua mkijitetea kua hiyo ni kutokana hamkufanya pre-season vizuri, huko pre-season si huwa mnacheza mechi na timu pinzani ku gather experience ili kuwaweka fit?
Sasa kwanini mtumie sababu ya kutoshiriki mechi za pre season kama excuse wakati unajua fika kua timu ikiwa inapasha kambini bila kuwa na mechi za kujipima inajiimarisha zaidi?
Nimekupa room utumie kuonesha namna gani viporo vina changia kumfanya simba kumuweka karibu na ubingwa, umeshindwa.
Afu mbona unajichanganya? Nimekuuliza hiyo dodoma jiji alivyoanza ligi na wenzake ni kwamba wenzake walipewa points za bure yuku yeye akiachwa au ni hussling binafsi?
Kama tangu mwanzo dodoma jiji alikua akifungwa na kukosa points, kwanini uone ishu dodoma jiji akifungwa na simba ambayo inashiriki mashindano makubwa na magumu ambayo nyinyi hamjaweza kutoboa round ya kwanza?