Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Wakuu mke wangu alikua muuza mitumba sasa ile biashara huwa wananunua yale mabando ya nguo na huwa linafungashwa mchanganyiko wa nguo tofauti
Sasa kwa mara kadhaa kila alipokuwa akifungua ili achague nguo za kufanya usafi ili aanze kuuza huwa alikutana na taka nyingi sana za matambara yasiyoeleweka yaliyofungashwa pamoja na nguo za mitumba jambo ambalo lilikuwa likinikera sana alipokuwa akilalamika
Mwanzo nilidhani ni hitilafu lakini nilishangaa kuona inajirudia mara kwa mara
Mwisho nikachukua uamuzi wa kumzuia kufanya biashara ya mtumba