Mh ndugu kwa hio kila mtu uliemkubali akijaribu kufanya jambo dogo tu litalohusiana na usiyemkubali basi na yeye ataingia katika orodha ya usiowakubali? Kama ni ndio basi kazi ipo.Jana nimemsikia Bashite anaongea kuhusu sakata la Roma. Nilikuwa sijui kumbe yule jamaa ni kilaza vile. Yaani ni lofa wa kutupwa, eti anaongea sijui maadui zangu, blah blah blah nilipost picha ya paka Instagram blah blah blah. Sikujua kawaita watu kuwaambia Roma yuko wapi au kuwatingishia wowowo lake tu. Na yule Fid Q mi nilimwamini kumbe na yeye ni walewale tu.
Analyse ww situation bila kuwa biaseKufanikiwa huwa hakuleti elimu unabiki 4m4 tu na Elimu huwa haileti mafanikio pia ni juhudi zako tu.......Tatzo kubwa Ya elimu Yetu hailet uthubutu ambao diamond anao na Tatzo kubwa Ya uthubutu hauambatani sawa na uwezo wa kuanalyse situations kitu ambacho DIAMOND hana na hata kipata kamwe
Sijaelewa logical link ya comment yako na huu uzi.Yeye Dai kama ana roho nzuri Si aende akamsaidie baba yake yupo pale magomeni kagera miguu imemvimba anateseka anakosa hata msaada hela ya kula
Na kuna sehemu kasema wazi, kaambiwa akae kimya ila anahisi kushindwa maana hata mashabiki wake wanamtaka Dangote anene chochote..Nimesa comment zenu wengi naona uchambuzi wa sanaa umewapita kushoto,jaribuni kuchukua muda wenu msikilize walau mara mbili mara tatu mtamuelewa sana diamond,mama ake kamwambia akae kimya...je ukisikiliza hiyo nyimbi mmeuona huo ukimya? Kaongelea masakata ya vyeti vya bashite, kaongelea kuhusu nape,roma na bunge...mwishoni akawa anaisikitikia tanzania wapi tunakoenda....sanaa inahitaji mtu utuluze akili sana ili uielewe
Mbona Ney anatumika sana na bavicha ila maisha yanaendelea?ANATUMIKA SANA NA CCM. HAFAHAM WASHABIKI WAKE WANAUMIZWA NA CCM.
Sikiliza vizuri na kwa utulivu, mimi naona kagusia yote yanayoendelea nchini yakiwemo hata yale usiyoyapenda. Lakini yawezekana labda mtindo wa uwasilishaji wa ujumbe hujaupenda(wa upole) unapenda jinsi ney alivyofanya. Vinginevyo ni wimbo wenye ujumbe mzuri unaowafanya watendaji watulize akili na kufikiri juu ya wayatendayo.Kwa vijana wengi wa kitanzania walivyo na upeo mdogo watamuunga mkono hata aimbe nini mimi ni fan wake ila kwa hapa hajakaa kimya yuko upande wa bashite kabisa
Kusema ukweli ndio kutokua na jipya?, kweli wewe sumu ya uchonganishi imekuingia vibayaHana jipya,huyu anajulikana move zake, awadanganye mapoyoyo!