Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Akiimba Ney Wa Mitego sawa,,Diamond akiimba mnatukana nyie Nyumbu watu hatari sana
Labda sababu Diamond ni Big fish na Ney ni kadagaa hakana impact! Diamond "kakaa kimya" watu nguo zimebana!
 
mwenzenu anatumika atumie nguvu za ustaa azindike akili za watu ili wote ajiskie kukaa kimya hivo ndio mastaa wanavyotumiwa
 
Nilichokiona hapa, wote waliotolewa povu na huu wimbo ni kile kipengele cha "watu wanaacha kutafuta sent wanabishana tu kuhusu vyeti" ukiangalia hajakosea japo siungi mkono mtu kufoji cheti ila kuna watu wanavidai mpaka unajiuliza wakishaoneshwa kwa mfano watafanyaje unashindwa ku imagn, ila kiukweli Diamond kajitahid kubalance sana kwenye huu wimbo.
Kuwa karbu na mtu ambaye watu wengine hawampendi na wew hajawah kukufanyia chochote cha ubaya ni wakat mgumu sana mpaka ueleweke....
Naam, nami nafikiri hapo ndio hawapapendi(ingawa ni ukweli)
 
Akae kimya yeye ila wengine tutaendelea kusema kwa kuwa taifa ni letu na si la watu wachache.

  • VYETI FEKI
  • BENI YUKO WAPI?
  • WAKUNA ROMA WAKO WAPI?
  • UTAWALA WA SHERIA.
 
Hii issue inaweza ikawa ni trick, kwa kuwa makonda ametangaza kwa umma kuwa roma atapatikana kabla ya jumatatu... sasa what it make serious think ?. hio confidance ya kusema jumatatu katoa wapi kwanini isiwe jana au kesho hii game ya watoto
Yy amejibu tutawarudisha,
Waziri husika anasema hatuhusiki
Rpc anasema tumeunda tume,

aghhsss! hii filamu inapoteza uhalisia very soon
 
Nilikuwa fans wake ila kwa huu wimbo kaniboa kweli, wasanii wenzake wanalia lenyewe linakuja na swaga za kijinga
Haya masanii yetu hayajitambuagi kweli
Kwani yeye kuna mahali amecheka ndugu?
 
Kuna wengine humuu hamjawahiii mpendaa Diamond toka Mumfahamu hatuwashangai mnavyo sema wimbo wake ni mbayaa maana mshazoe vurugu vurugu.......

Hata kipindi cha CCM mlisema Diamond kashapotea lakini hadi leo mnamjadirii......na msanii yeyote inabidi awe kama diamond Mwaka mzima watu wanakuongelea sasa kupitia hata kawimbo ka dakika 4 ataongelewa miezi 6 mbeleee msanii kama huyo atachuja vipi akija kutoa wimbo katoka Na Rihanna utamsahau mtu kama huyo?

Acha nikae kimya nikojoe nikalale mm bado mdogo sana
 
Huu uzi unaonyesha jinsi watanzania walivyo shallow kwenye kutafsiri vitu, huu wimbo wengi wametoka kapa! Wameamua kuutafsiri ktk title yake tu ya NIACHE NIKAE KIMYA.
 
Muache amchane tu huyo Mangi Kimavi,yeye anachochea tu chuki akiwa nje ya nchi,tukianza kutifuana hapa yeye huko yuko salama,kama kweli anauchungu na hii nchi arudi hapa tuendeleze mapambano pamoja tukiwa ndani ya boti moja ikizama tuzame wote na ikivuka tuvuke wote!

Mnatifuliwa na serikali, tatizo si watanzania waoga. Ila naelewa uoga, ambacho hakieleweki ni kutetea upuuzi wa viongozi kutishia wanaanchi kwa sababu ya kufahamu na kusimamia haki zao.

Ila nina swali, uelewa wetu wa amani ni nini? Kwa sababu nahisi wengi wetu hatulijui hili, kuwaondoa wakoloni ililazimu vita, inamaana babu zetu walikuwa hawapendi amani?

Amani ya vyama vya siasa kunyimwa kufanya mikutano ya hadhara,
Amani ya Wa Bunge wa upinzani kufungwa jela kila siku?
Amani ya vyombo vya habari kuvamiwa kwa mitutu?
Amani ya wananchi kutajwa kama wauza unga ili waibiwe mali zao?
Amani ya watz kutishiwa kuuwawa sababu ya kuandamana kitu ambacho kinaruhusiwa kikatiba?
Amani ya wasaniii kutekwa sababu kiongozi anatafuta Kiki

Hapa difference is, wakoloni ni watanzania wenzetu na binadamu yeyote anakikomo ya kuvumilia madudu. Its in human nature, na kama sio kwa sasa hivi baadaye itafika mda na kitakachotokea ni vita ya hasira ya muda mrefu ambayo kuituliza itakuwa issue. Gadaffi siku zake za mwisho alikuwa mzuri sana, walipata elimu nzuri ya bure hadi chuo kikuu, petroli kwa bei nafuu, kwa hiyo lifestyle ya libya was easy lakini...hapo nyuma alikuwa na madudu mengi ambayo watu hawakuyasahau even baada ya kubadilika na kuwafanyia yote hayo. Suppressed anger is a ticking time bomb that fuels over time. That's what we should be more afraid of. Angalia capetown, na peace can be found without taking arms but claiming our rights to stand for those rights. [HASHTAG]#peaceful[/HASHTAG] movements bila uoga wa vitishio vya kuuwawa kwa mandamano. Kweli serikali itawaattack wasio beba silaha? peaceful brave movements, sio vita.
C8zqSi9XsAA3lKd.jpg:large
CAPETOWN.
 
tukiweka mbali itikadi na mahaba ya vyama vyetu siioni mahali Platinum amekosea hata kidogo.
tujaribu kuwapa watu wote freedom of expressing their feelings nchi hii ni yetu sote
 
Hamna cha timu kiba!! Hiyo ni very realistic kuwa anamsema Mange. Iko wazi sana hiyo haihitaji shule kung'amua
Halafu, wenye akili watatafakari kama hayo maneno aliyoyaongea katikati ya sintofahamu kuhusu "kutekwa" kwa Roma na wenzake ni sahihi! Bado tuna safari ndefu sana...
 
Sasa mondi kakosea nn pale acheni umbulula,,,, kumbe mondi ndio ana amsha iv
 
Kaharibu clouds kakimbilia wasafi, na tatizo la wabongo kwa kujipendekeza ashaanza yeye kuwa msukule wake, keshokutwa wanaanza kulialia,.. Jinga hilo hana la maana
 
Back
Top Bottom