Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,607
- 4,263
Unasema hadi Amekamatwa na serikali ikiwa na maana kuwa serikali yenyewe imetikiswa, halafu hapo hapo unadai "hakuna kilichotokea"?Habarini wakuu
Nimeshangaa sana nijuzi usiku diamond platnum alitoa nyimbo yake ya acha nikae kimya ambayo kiujumla Ali jaribu kuelezea mambo yanayo emdelea Tanzania na kajitahidi sana Ku balance lakini chakushangaza maneno machache tu yale NCHI imetikisika akati wakina NEY waliongea maneno mazito adi kukamatwa na hakuna kilicho tokea....
Ii INA mana gani au watu wanapenda sana kumfanya diamond asipotee kwenye ramani na azidi zungumziwa
Akili yako unaijua mwenyewe kwa kweli.