jiwe la majiwe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 2,537
- 1,586
Acha kusemea wengine kijana....!Diamond asingeweza kuimba zaidi ya alivyoimba. Kajitahidi sana kuwa neutral, tena ukitulia utagundua kua kasigina matukio yaliyotokea hivi karibu. Ni watu smart ndio wataweza kumwelewa diamond alivyotumia 'situational irony' kunyamaza kimya. Huyo dogo hajaenda shule lkn kabarikiwa utajiri wa ubongo.
Sikiliza vizuri huo muziki mara kadhaa, sikiliza tena na tena.
Si uko nao siku zote?
Ama ulezi unafanya uogope?
Na media wanalalama kiongozi atoke
Nchi inaingia matope...
Huyu dogo ana akili kubwa kuliko uwezo wetu wa kutafsiri...
Sema ana akili kuliko uwezo wako wa kutafsiri.......!
Usitumie kiwakilishi "wetu"