Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda sababu Diamond ni Big fish na Ney ni kadagaa hakana impact! Diamond "kakaa kimya" watu nguo zimebana!Akiimba Ney Wa Mitego sawa,,Diamond akiimba mnatukana nyie Nyumbu watu hatari sana
Kwa sababu natumia ubongo kufikili.kaka una
uhakika gani? Japo naona Diamond hayuko sahihi kusema akae kimya ila nahisi na yeye hali ya huu upepo upo vibaya
Kiki ipi anatafuta diamond hapa Tz?? Aliitafuta 2008 na akaipata huko huko 2008.
Naam, nami nafikiri hapo ndio hawapapendi(ingawa ni ukweli)Nilichokiona hapa, wote waliotolewa povu na huu wimbo ni kile kipengele cha "watu wanaacha kutafuta sent wanabishana tu kuhusu vyeti" ukiangalia hajakosea japo siungi mkono mtu kufoji cheti ila kuna watu wanavidai mpaka unajiuliza wakishaoneshwa kwa mfano watafanyaje unashindwa ku imagn, ila kiukweli Diamond kajitahid kubalance sana kwenye huu wimbo.
Kuwa karbu na mtu ambaye watu wengine hawampendi na wew hajawah kukufanyia chochote cha ubaya ni wakat mgumu sana mpaka ueleweke....
Yy amejibu tutawarudisha,Hii issue inaweza ikawa ni trick, kwa kuwa makonda ametangaza kwa umma kuwa roma atapatikana kabla ya jumatatu... sasa what it make serious think ?. hio confidance ya kusema jumatatu katoa wapi kwanini isiwe jana au kesho hii game ya watoto
Kwani yeye kuna mahali amecheka ndugu?Nilikuwa fans wake ila kwa huu wimbo kaniboa kweli, wasanii wenzake wanalia lenyewe linakuja na swaga za kijinga
Haya masanii yetu hayajitambuagi kweli
Muache amchane tu huyo Mangi Kimavi,yeye anachochea tu chuki akiwa nje ya nchi,tukianza kutifuana hapa yeye huko yuko salama,kama kweli anauchungu na hii nchi arudi hapa tuendeleze mapambano pamoja tukiwa ndani ya boti moja ikizama tuzame wote na ikivuka tuvuke wote!
Halafu, wenye akili watatafakari kama hayo maneno aliyoyaongea katikati ya sintofahamu kuhusu "kutekwa" kwa Roma na wenzake ni sahihi! Bado tuna safari ndefu sana...Hamna cha timu kiba!! Hiyo ni very realistic kuwa anamsema Mange. Iko wazi sana hiyo haihitaji shule kung'amua
Umechemka clouds kila SAA wanapiga uo wimboHuo wimbo hautapigwa wala kutajwa katika vituo vifuatavyo
Clouds Media
E- FM
ITV na Redio One
EATV
Labda utasikika kwa muda vituo vifuatavyo
Uhuru Fm
TBC