Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"


inawezekana hata kuandika siku hiyo hiyo

ana studio yake, wataalamu wake, kila kitu chake!!

acha ushamba
 
kwani watekwaji wamesha nena ya moyoni..?
 
Tarehe 5 ndio Roma alitoweka!Nways kwa wanamuziki hata masaa 2 yanatosha!Nyimbo ya Mwasiti ft chid benz- hao,Chidi aliingia studio akamkuta mwasiti anarecord!Basi Mwasiti alipomuona akamuomba amshirikishe,jamaa akakaa pembeni akaandika mistari na akaingiza vocal pale pale!Ngoma ikatoka!
 
Huyu dogo alizani bashite ana akili kashamaliza kila kitu
 
bashite mwenzako analipwa na kulindwa na baba ake sasa uyu kashindwa kuelewa mchezo
 
Samahani mkuu we ni jinsia gani!? Ni ke au me!?
 

Upuuzi mtupu kama kama nchi kuingia matope ilikwisha ingizwa matope siku nyingi na bashite
 
nimeusikiliza vizuri sana...hakuna cha situational irony wala nn zaid unafiki...kuna msemo wenzetu husema ...neutrality is hypocrisy...hakuna namna ambaayo utakuwa neutral bila kuwa mnafiki...kisa cha kuwambia watu wafanye kazi waachane na vyeti ni kipi wakati kuna watu wamefukuzwa kazi kwa sababu hyo hyo ....
 
Pumbavu kabisa huyu, eti anadai wanamuuliza vp Simba mbona hangurumi. Simba gani huyu? Simba choko au? Simba gani na sauti ile na matendo ya kinafki. Hiyo nickname aachane nayo kabisa. Hopefully Darassa atamtolea uvivu once again fala kabisa huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…