Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Team Kiba!Hana jipya,huyu anajulikana move zake, awadanganye mapoyoyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team Kiba!Hana jipya,huyu anajulikana move zake, awadanganye mapoyoyo!
Mbona kawaida tu,kila kitu kina mwanzo na mwisho,ila dogo kaongea point!Ndio anapotea kimuziki huyo..hayo maneno amwambie Mzee Kipara aliyewapiga mkwara watanzania wasiende kumuona mtanzania mwenzao Lema alipokuwa gerezani
Hivii ...mlitaka woote watoe wimbo wa kuitusi Serikali..Huyo diamond ni mpumbavu
Huwez kuwa na muda najua, kwa vile humo ndani amepigwa vibaya dada yako Mange, yuko chali ktk instagram yake ni povu tu analia anawewesekaSina huo muda...
kaka una
uhakika gani? Japo naona Diamond hayuko sahihi kusema akae kimya ila nahisi na yeye hali ya huu upepo upo vibaya