Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Diamond aachia wimbo mpya "Acha nikae kimya"

Mange amepigwa za kutosha, ahsante Diamond. Hujakaa kimya
 
Daimond,

Ni bora ungemsikiliza mama ako then ukakaa kimya kivyako, ni upumbavu wa hali ya juu kuja kwenye kikao cha wanaume wenzio wanaojadili kitu fulani then ww unakuja unasema mama kanambia nisicheze na nyie eti nyie na wachochezi,
Hivi wote hatuna wazazi? hv huyo mama ake akimwambia awaue watoto wake atafanya hvyo?
Au tuchukulie mama yake huyo kapotea siku nne hatoanzisha # zake?
Kweli adhabu ya kaburi aijuaye maiti,
we've long way to freedom kama wasemaji wetu wenyewe ndo hawa kazi ipo
bora umeongea wewe maana ningesema mimi, watadai natukana
 
Ninachosikitika siasa zimetugawa, yaani imekuwa kama uadui, na hii sumu wanaisambaza watu wa upinzani ni sumu mbaya sana, itafika kipindi utashindwa kumsaidia mtu tu kisa itikadi zenu tofauti, sasa kosa la diamond platnumz lipo wapi, hii inchi kila mtu yupo free kuchagua anachokitaka ili mradi asivunje sheria, diamond kawasilisha maoni yake kupitia mziki. Kuwa na itikadi tofauti isiwe tatizo, ila Ninachosikitika sana wanasiasa na mitandao ya kijamii inatugawa vibaya sana, mpaka inafikia Kipindi tunaomba mabaya yatokee kwa nchi yetu, ili kuikomoa serikali, yaani mpaka kwenye kusifia tunakosoa na kwenye kukosoa tunasifia.Watu wanaomponda diamond platnumz ndio hao wanalalamika kila siku inchi haina demokrasia, lkn hawajui diamond platnumz ametumia haki yake ya msingi ya demokrasia kawasilisha mawazo yake kupitia mziki wake. Tanzania kwanza, tusilichukulie hili swala la ROMA kisiasa eti ni la upande fulani. Nammlaani sana kimambi, kwani hii sumu anayoisambaza, haina tofauti na kile kituo cha radio Rwanda kilichorusha habari za kibaguzi, mwisho wake kukawa na mauwaji ya Kimbari. Watanzania tuwe makini sana tusiruhusu mitandao ya jamii na wanasiasa watugawe.
Umenena yote. Na majority wanacomplain juu ya huu wimbo na hawajasikiliiza kisa tu kimavi kaongea. Diamond wenye akili zetu tumemuelewa sana. Wenye mihemko na chukk zao wataona kaimba upupu

Hivi kesho na keshokutwa roma kapatikana halafu kumbe hakutekwa ma serikali kama wengi wanavyotaka kutuaminisha. Kwa issue ya roma mie ata sitaki kuongelea kwakweli sababu sina ata ushahidi
 
Diamond is an Idiot.. There is no doubt.
He is a qualified idiot.

Nilijua tu lazima Bashite amtumie on that way na ametumika kweli kijinga kabisa.

Ukishishakuwa msanii wa muziki wa rank ya Diamond lazima uwe na broad way of thinking (uwezo mkubwa wa kufikiri na kutambua)ya kuweza ku evaluate what's going on kwenye Jamii kwenye muda husika na how u will respond to it.

Unfortunately Diamond na Bashite wake wote ni empty headed.. zero brain.. na ndio maana Bashite alivyomwomba Diamond atunge wimbo wa namna hiyo kwasababu hana akili akakubali.
cc W. J. Malecela
 
bora umeongea wewe maana ningesema mimi, watadai natukana
Kuna wasanii sijui wanaakili gani mkuu, nimeshangaa eti mtu kama nash pia anasema hii ni danganya toto? eti akili za abunuasi kweli?
Kuna faida gani kufanya kiki za kipuuzi kama hizi,
ndo maana namkubali sana nikki mbishi mbali na beef aliyonayo na roma hakuwa nyuma kuonesha masikitiko yake
 
Ninachosikitika siasa zimetugawa, yaani imekuwa kama uadui, na hii sumu wanaisambaza watu wa upinzani ni sumu mbaya sana, itafika kipindi utashindwa kumsaidia mtu tu kisa itikadi zenu tofauti, sasa kosa la diamond platnumz lipo wapi, hii inchi kila mtu yupo free kuchagua anachokitaka ili mradi asivunje sheria, diamond kawasilisha maoni yake kupitia mziki. Kuwa na itikadi tofauti isiwe tatizo, ila Ninachosikitika sana wanasiasa na mitandao ya kijamii inatugawa vibaya sana, mpaka inafikia Kipindi tunaomba mabaya yatokee kwa nchi yetu, ili kuikomoa serikali, yaani mpaka kwenye kusifia tunakosoa na kwenye kukosoa tunasifia.Watu wanaomponda diamond platnumz ndio hao wanalalamika kila siku inchi haina demokrasia, lkn hawajui diamond platnumz ametumia haki yake ya msingi ya demokrasia kawasilisha mawazo yake kupitia mziki wake. Tanzania kwanza, tusilichukulie hili swala la ROMA kisiasa eti ni la upande fulani. Nammlaani sana kimambi, kwani hii sumu anayoisambaza, haina tofauti na kile kituo cha radio Rwanda kilichorusha habari za kibaguzi, mwisho wake kukawa na mauwaji ya Kimbari. Watanzania tuwe makini sana tusiruhusu mitandao ya jamii na wanasiasa watugawe.
 
Diamond n bora ungekaa kimyaa kaka mama alivokushauri maana umeongea tu ndio umeharibu kabisa, japo umewatetea wasanii lakini umeharibu kabisa... kwa habari zaid sikiliza nyimbo yake ya bora nikae kimya.
kwa alie na wimbo wake naomba auwekee apa wakuu
 
Daimond,

Ni bora ungemsikiliza mama ako then ukakaa kimya kivyako, ni upumbavu wa hali ya juu kuja kwenye kikao cha wanaume wenzio wanaojadili kitu fulani then ww unakuja unasema mama kanambia nisicheze na nyie eti nyie na wachochezi,
Hivi wote hatuna wazazi? hv huyo mama ake akimwambia awaue watoto wake atafanya hvyo?
Au tuchukulie mama yake huyo kapotea siku nne hatoanzisha # zake?
Kweli adhabu ya kaburi aijuaye maiti,
we've long way to freedom kama wasemaji wetu wenyewe ndo hawa kazi ipo
Povu la nini? Tatizo hajaongea kama wema sepetu au? Diamond is the biggest artist in Tz kwa sasa, hajataka kuweka kambi upande wowote na kuwagawa mashabiki wake.
Alafu kwa heshima na tahadhima,. Hivi kwa kuusikiliza huo wimbo ni kweli amekaa kimya au kwa sababu kauita ngoja nikae kimya basi na wewe hujapata message??
 
HII ni kubalansi mambo tu.Sasa kama wasanii wapo upande mmoja tu haileti mizania nzuri
 
Wewe ndio unasema juu ya uoga.

Mjifunze kuheshimu maamuzi ya binadamu wengine, sio lazima kila mtu atafute pesa kupitia kiki ya Kiongozi kwa kufata mkumbo wa uongo unaotungwa.

Mnapenda kuamulia watu kama vile, nyie mnaishi kwa kuamuliwa.

Amewapa ukweli na maisha ni yake.

Makonda oyeeeeee
Hii comment haina dislike box??
 
Watu wana vichwa vigumuu sanaaa......ila kiuhalisia huu wimboutachezwa sanaaaaa kuliko wimbo wowote sasaa kuanzia clouds hadi vitu vingine vyoteeeee.....Diamond kwa wimbo ananifanya nimuongezee miaka 10 tena yakuendelea kuwa masikioni mwa watu

Diamond anakwambia mnakaa vijukundii....Mnamuongelea vyeti badala ya muda huo kusaka Vijisenti (kwani uongo) wimbo wa Rafiki ake Ney alishindwa hata kupost kuogopaaa.... jinsi wimbo ulivyo (kwani uongo)

Diamond amefanya kama mtu alie kuwa bize sana hajui yanayo endelea ile kuamka tuu anakutaka na haya maswaibu duuu mama ake anamwambia kaa kimya mwanangu Funika kombe mwanaharamu apite na hivyo ndio inavyo takiwa

Sio ujanjaaa kwa msanii kushindana na serikalii.......

Mwisho mm bado mdogo sana ngoja nikoje nikalalee
 
Tatizo darasa zero...hivyo unapelekeshwa
 
Back
Top Bottom