matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Kiukweli mimi ninauzoefu kidogo na huu muziki wa bongo....lakini inabidi nikiri muziki wa bongo haujawai kupata msanii special kama Diamond...Tuache ushabiki pembeni this guy is powerful....Leo media yote Tanzania na Kenya imetekwa na Diamond.....blog zote,tv zote,radio zote, social media nzima habari ni wimbo wa Diamond...Uko Mkito hajamaliza siku ila kashavunja rekodi ya wasanii wote.
Uyu ndio Diamond leo utampenda kesho utamchukia, then utampenda tena kisha utamchukia kisha utampenda tena.....Na huu ndio unyota. Kila mtu sasa yupo bize kupromoti ngoma yake mpya in a bad way or good way mwisho wa siku itakuwa heat zaidi ya Number one.
Keep it up Diamond...!!