Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Kiukweli mimi ninauzoefu kidogo na huu muziki wa bongo....lakini inabidi nikiri muziki wa bongo haujawai kupata msanii special kama Diamond...Tuache ushabiki pembeni this guy is powerful....Leo media yote Tanzania na Kenya imetekwa na Diamond.....blog zote,tv zote,radio zote, social media nzima habari ni wimbo wa Diamond...Uko Mkito hajamaliza siku ila kashavunja rekodi ya wasanii wote.

Uyu ndio Diamond leo utampenda kesho utamchukia, then utampenda tena kisha utamchukia kisha utampenda tena.....Na huu ndio unyota. Kila mtu sasa yupo bize kupromoti ngoma yake mpya in a bad way or good way mwisho wa siku itakuwa heat zaidi ya Number one.

Keep it up Diamond...!!
 
huyo alikiba anapata nini zaidi ya misifa kwenye ya jf ..
..tatizo unafikili alikiba anaweza kuwa juu diamond endelea kusubili na utasubiri sana mpaka ukome lakin sikio.halid kichwa

Uzi wa diamond unamtaja kiba anahusikaje kwani yeye ndo katoa wimbo si kila kitu mfanye comparison the thread is all about domos new song kiba has nothing to do with this bana eeh
 

Huo ndiyo ukweli mkuu
 
Jikaze mtoto Wa kiume kuandika huku unajilegeza Kama shori haipendezi sidhani Kama Fredy atafurahi akiona huu ujinga.

Mtu mzima wewe....acha utoto basi.....!! Jkt ruvu moja

By the way wizaran wanasemaje...au ushahama
 
kuna watu hawampendi kiba jamani uzi wa daimond mnataja kiba kuonyesha mna inferiority complex

achana nao hao great losers, wimbo wenyewe haujafikia hata level ya wimbo wimbo wa tampata wapi kama yule ya qchiler kitambo
 
Awa jamaa wanacheza na akili za watu tu,sidhani kama wameachana kweli. #Bado anijia ndotoni......
 
Sifa za Jf muulize Slaha 2010, sifa za Jf waulize Ukawa kwenye katiba.....Jf isije ikamdanganya mtu.

Kwa takwimu dogo angalia commet nying jukwaa la siasa tu jf mara sote wamejaa chadema but reality ccm huwa wanashida so huyo alikiba anawatu watatu hapa JF then anajiona king
 
Jikaze mtoto Wa kiume kuandika huku unajilegeza Kama shori haipendezi sidhani Kama Fredy atafurahi akiona huu ujinga.

Mtu mzima wewe....acha utoto basi.....!! Jkt ruvu moja hapa

By the way wizaran wanasemaje...au ushahama
 
hakuna cku diamond altoa nymbo cku ya kwanza then mkaisifia but baada ya muda inakuwa nation anthem.hata my number one ilkuwa hvyohvyo but baadae ndo imemsababshia anajulkana africa so subrn kuwa nominies kwenye tuzo mbalmbal

kweli kabisa
 

Na sasa hivi nyimbo inapigwajeeeeeeeeeeee inachezwajeee kwenye tv watabadili channel mpaka waote sugu,,,,,hayupo anaemfikia Daimond nyimbo kali video kaliiiii
Kwenye keyboard wanamponda lakini mziki wake wanausikiliza na matamasha wanaenda kumuona na kumsikilizaa
Weweeeeeeeeeeeeeraaaaaaaa
 
Ha ha ha labda kwasababu ya ugeni na nyimbo za ushenzini ndo maana nashindwa kutambua Kali ipi na mbaya IPI

By the way hamjambo huko mwanza?

Nyimbo nzuri,video kali lazima wakaeeee mwaka huuu waoooo heeeeeeeeeee wapiiiiiiiiii team Kiba video ya mwana ipo rehani auu!!!
Mwanza salama alhamdulilah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…