Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Kitu cha ntampata wapi icho
 

Attachments

  • 1416460033472.jpg
    1416460033472.jpg
    45.9 KB · Views: 803
Nabii hakubaliki nyumbani ngoja ajaribu huko kwa wenzetu.Single mpya unazindulia mawingu fm ni shidaaah.
 
Ni wazi Dangote sasa kaishiwa na hana jipya tena, wimbo wa nitampata wapi hakuna chochote cha maana zaidi ya kupaste nyimbo zake za zamani.

Pamoja na kutengeneza skendo mbalimbali ili azidi kuwa midomoni mwa watu lakini safari hii imeshindikana kabisa kwani watu hawataki hata kumsikia.

Nadhani ni mambo mawili tu Diamond anatakiwa kufanya:

1.Kurudi kwa yule mganga wa temeke kumuomba radhi muanze upya ili amteketeze kiba
2.Ku preserve ulicho nacho ili usije kuwa kama Mr nice.

Ni wimbo mbovu kabisa kuwahi kufanywa na Diamond kiasi hata mwanangu wa chekechea hataki upigwe kwenye radio yake.
 
Kuanzia ule wa mdogo mdogo yaani ndio anazidi kujichimbia kusikojulikana.
Mi naona hakuna jinsi zaidi ya kwenda kuomba urafiki na Mr Nice kwasababu huyu ndiye atakuwa rafiki wa kweli wa shida na raha.
 
Hahahaaaa mimi hata sijausikia zaidi ya kuona promo zinaendelea hapa jukwaani...ngoja niutafute nijionee viroja mie
 
Back
Top Bottom