Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

bado kidogo nitaombwa radhi na yule mod aliyefuta uzi wangu uliosema kiba atatoa video ya mwana remix baada ya huyu dogo kutoa video yake mpya maana walikuwa wanategeana maana kaingia choo cha kike kweli aisee, video afadhali lakini audio hovyooo....

Hahahaaa utakua mwana JF wa kwanza ikiwa hivyo....
 
ngoma ni kali balaa hasa yale mahadhi,kwa kweli anayesema huyu jamaa atakuwa kama mr nice anajidanganya,huyu jamaa ni habari nyingine,best tanzanian artist of all time.
 
Yaaan ni hivi ngoma kaliii video ndio usisemeeee kabisaaaa yaan kwa lazima mtaupenda na mtausikilizaaa
 
ngoma ni kali balaa hasa yale mahadhi,kwa kweli anayesema huyu jamaa atakuwa kama mr nice anajidanganya,huyu jamaa ni habari nyingine,best tanzanian artist of all time.

Tusuburi tu ya mwana itakuwajee Daimond kawaweza hadi wachawiiiiii
 
Hongera kwa vdeo nzuri kama kawaida yako..
Ila hyo audio mataputapu..
 
Ukisema video mbovu ,utakua mnafiki
Ulisema audio Kali,utakua mnafiki.

Am out
 
Jaman achen ushabk wa kijnga hapa mnampoteza huyu msanii wenu..

Huu wimbo ni wa kawaida sana..
Alpotoka na anapoenda n tofaut kabisa..

I prefer to listern BEST NASO - KHADIJA than this..
 
Bahati mbaya nimeshindwa kuona video sababu opp protected or some reason ila Audio ni nzuri ila ni Average haijanivutia kivile, sauti naona kama Cassim Mganga somehow.....anyway I prefer Ali Kiba latest than Diamond's latest katika my POV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…