Diamond aachia wimbo mpya: Nitampata Wapi? - Nov 20, 2014

Jaman achen ushabk wa kijnga hapa mnampoteza huyu msanii wenu..

Huu wimbo ni wa kawaida sana..
Alpotoka na anapoenda n tofaut kabisa..

I prefer to listern BEST NASO - KHADIJA than this..

Wimbo umepooza kweli hauna tofauti na nyingine at least video kajitahidi
 
Huyu dogo ni nouma ANAJUA kuimba.
 
Last edited by a moderator:
hakuna cku diamond altoa nymbo cku ya kwanza then mkaisifia but baada ya muda inakuwa nation anthem.hata my number one ilkuwa hvyohvyo but baadae ndo imemsababshia anajulkana africa so subrn kuwa nominies kwenye tuzo mbalmbal
 
like, like, like
 
Jamaa kabugi,ila tukiongea tutaonekana TEAM KIBA

sijui hii team kiba na team diamond itaisha vipi maana ukimshauri mmoja utaonekana wa upande mwingine....ngoma kali huhitaji kuikubali kwa kusikiliza mara nyingi!kitu kikali mara moja tu unakielewa!...kama kuna ushindani kweli kati ya kiba na diamond sasa kwa ngoma za style aliyoitoa diamond leo si kumtafuta ubaya ally kiba!maana yule mtoto wa kariakoo kwa ngoma kama hizo anakuletea msiba kabisa na ile vocal yake!....kwa hii audio diamond kajizomea mwenyewe
 
Diamond hajawahi kuachwa kupondwa tangu aingie kwenye anga hizi tofauti,mdogo mdogo ilipondwa,baadae watu wakazuga kuipenda eti video nzuri ndo maana,leo kila mtu anaiimba,acheni majungu yasiyo na msingi.Anafanya vizur tukubali na yule aliyesema kutoa nyimbo kila mara ni dalili ya kufulia nao hawajui soko la mziki,we unadhani wakina davido na p-square wanavyotoa nyimbo kila karibia miez 3 ni wajinga,hapana ndo soko linavyotaka ufanye ili uendelee kumaintain status la sivyo tungewasahau.hii ni pamoja na tuzo kuwa kwenye category nyingi na kujipa nafasi kubwa ya kushinda.dats what pple with ambitions do
 
hakuna cku diamond altoa nymbo cku ya kwanza then mkaisifia but baada ya muda inakuwa nation anthem.hata my number one ilkuwa hvyohvyo but baadae ndo imemsababshia anajulkana africa so subrn kuwa nominies kwenye tuzo mbalmbal

UKWELI MTUPU...nyimbo za diamond mwanzo huwa mbaya lakini baada ya mwezi unakuwa wimbo BORA hata kwa wasioupenda
 
Mnaoponda nyimbo hebu tungeni na nyie muimbe tuoneee kama hamjachekeshaaaa,ukitaka kuujua utamu wa ngoma ujue style za kucheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…