Kupigia kampen CCM sio shida. Shida inakuja pale anapoenda tofaut na mashabiki wake. Mm nilikuwa shabiki wake mkubwa sana, post zake nlikuwa nazilipost kila siku, nlikiwa siachi kuingia ktk mitandao yake ya kijamii na kujua leo kapost nn, nlikuwa mpiga kura mkubwa ktk kila tuzo aliyowania... ila baada ya yeye kupost ishu za CCM na kumpost LOWASSA kuwa hafai kuwa rais sababu ni mgonjwa, nilianza kumchukia taratibu na kuacha kabisaaaa kumfatilia ktk mitandao yake. Nimetokea kumchukia2 ghafla yan.
Kwa maon yangu, yeye angekuwa akippst2 labda ile "CHAGUA CCM" CM"CHAGUA MAGUFULI" au "KARIBU VIWANJA VYA JANGWANI, NITAKUWEPO NA TEAM YANGU YA WCB TUKITUMBUIZA KTK KAMPENI ZA CCM"
lkn sio unapost hadi maswala ya ugonjwa wa mtu. Na mwaka huu nahis maadui wake wataongezeka zaidi tofauti na kipindi cha nyuma