binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Duuuh kumbe kwel mimi ig kani block
Nimefurahi sana huyu kada wa ccm kukosa tuzo
Atakuwa anakufahamu inawezekana we ni ex shemeji ake. Maana kuna watu huwa wanacomment matusi mazitooooooo na hawajablokiwa. Alivoona weye unaenda kucoment kaona mchawi huyu kaja kuwanga😂😂😂😂😂
Heheheeee kunifahamu ananifahamu ila sio kwa kuniblock huko yeye na zari.
Sio ex wake
Mnaongea kama mpo kwenye taarabu Eddy Kenzo anawashabiki wa kutosha mitandaoni ndio maana hata BET alifanya vizuri Diamond hakushinda coz kura hazikutosha si kwa sababu ya mambo ya siasa....kiba na Diamond wanapigia kampeni CCM kutafuta kipato kwao mziki ni biashara wakifa njaa hakuna wa kuwasaidia kwako ni kampeni kwao ni kazi jaribu kuwa muelewa hata UKAWA wakiwaita watakwenda chamsingi ni pesa tu.
Bibie na we ulikatwa nini? Naona wote mmekimbilia UKAWA. Kumbe kukatwa na kubaki wanaweza akina sepetunga peke yao.
hhhaahhhaaa....aaahh wapi hawana ubavu wa kunikata..
mara yangu ya kwanza na ya mwisho kuipigia CCM ni 2005 sitothubutu labda asimame haba angu huko CCM never...!!
Kupigia kampen CCM sio shida. Shida inakuja pale anapoenda tofaut na mashabiki wake. Mm nilikuwa shabiki wake mkubwa sana, post zake nlikuwa nazilipost kila siku, nlikiwa siachi kuingia ktk mitandao yake ya kijamii na kujua leo kapost nn, nlikuwa mpiga kura mkubwa ktk kila tuzo aliyowania... ila baada ya yeye kupost ishu za CCM na kumpost LOWASSA kuwa hafai kuwa rais sababu ni mgonjwa, nilianza kumchukia taratibu na kuacha kabisaaaa kumfatilia ktk mitandao yake. Nimetokea kumchukia2 ghafla yan.
Kwa maon yangu, yeye angekuwa akippst2 labda ile "CHAGUA CCM" CM"CHAGUA MAGUFULI" au "KARIBU VIWANJA VYA JANGWANI, NITAKUWEPO NA TEAM YANGU YA WCB TUKITUMBUIZA KTK KAMPENI ZA CCM"
lkn sio unapost hadi maswala ya ugonjwa wa mtu. Na mwaka huu nahis maadui wake wataongezeka zaidi tofauti na kipindi cha nyuma
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mbia-sumaye-na-lowassa-ni-kabila-moja-30.html
Pia daimond aliporushiwa makombora na kuonywa alidai muziki wake ni wa kimataifa, hautegemei soko la Tanzania
Yaan ndugu humu jf sasa hivi GT hawapo wameingia wavamizi kila kitu kwao siasa.Dai na Kiba muziki ni kazi yao hata ACT wakiwataka wataimba mradi mshiko