Diamond aambulia patupu kwenye tuzo za NEA Awards

Diamond aambulia patupu kwenye tuzo za NEA Awards

diamond alinisikitisha siku aliposema UKAWA ni watu wa KASKAZINI na hata kaa apige show kaskazini kwakuwa kaskazini ni wabaguzi sana!daaah sikuamini kama Diamond angeweza kuongea ushuzi wa hali ya juu kiasi hicho na since that day nilimpotezea nakumdharau

Kweli mondy anavuta bangi yani anadiriki kuongea shombo hizo?
 
Mpaka aombe msamaha kwa press conference tena airushe live tv na redio zote kwa masaa matatu! Pili kwa hiyo conference afanye live performance ya single atakayokuwa ameitunga specifically kwa ajili ya kuomba msamaha! Habari ndo hiyo!

Hahahaha
 
nisiwe muongo diamond kura zangu kapata nyingi sana kipindi chote cha nyuma ila tangu alipojiingiza chama flani aisee ntabaki shabiki wake wa kawaida ila sitapoteza nguvu yangu kumpigia kura

Kwa bahati mbaya safari hii atakosa vyote, tuzo atakosa na nchi UKAWA tunachukua kiulaini saa 2 asubuhi
 
A2katai mond kuwa na chama anacho kpenda coz n democrasia ila wa2 awapend kuona msanii wao yupo chama fulan ata kama n biashara. Mimi mwenyewe nlkuwa naangaika kuvote il jamaa ashinde ad Screen-Shot nlkuwa napga na kupost coz 2lkuwa 2najivunia na che2 2l2kanwa sana na tm kba nlpoona jamaa yupo ccm ad kupoxt et rais mzur yule mwenye afya bora niakaacha kuvote ata kumfollow istra mzk na siasa v2 vwl tofaut

Kama mimi mkuu
 
Hawezi kuleta pua yake hapa, otherwise aje atueleze ni kwanini diamond avunje record kwa kupata votes nyingi hadi system icorrupt then tuzo ashinde mwingine.
 
Last edited by a moderator:

Izi tuzo me mwenywe cku wahi kuzi votia mbona hamzungumzia zile za Uganda Shardcole tulizo mkalisha wiz kid yaan cku izi tukichukua tuzo hatuoni ajabu kazi kwenu nomination mnaweka new alert
 
Last edited by a moderator:
Acha kuongea ujinga wako huo, tuzo hapewi mtu kwa reference ya tuzo ya nyuma, ndiomana utaona hadi wizkid huwa anazidiwa na wasanii wa kawaida, hapo Afrimma subiri uone kazi maana hata hiyo tuzo ya Eddy kenzo huko Nigeria 45% ya Votes zimetoka tz, simply teamkiba ndiyo wenye nguvu + teamwema waliompa ushindi Eddy

Kwan kuna team kiba me najua kuna team wema na ndo walimuambia kiba aseme anapenda magufuli na kumfanya afanye show za ccm lasivyo hapati kura
 
Hawezi kuleta pua yake hapa, otherwise aje atueleze ni kwanini diamond avunje record kwa kupata votes nyingi hadi system icorrupt then tuzo ashinde mwingine.
Walidanganya ila angechukua tusingepumua mjini hapa
 
Kwan kuna team kiba me najua kuna team wema na ndo walimuambia kiba aseme anapenda magufuli na kumfanya afanye show za ccm lasivyo hapati kura
Uongo wako ww ni classic kabisa unavigezo vyote vya kufanya kazi kwa shigongo
 
Izi tuzo me mwenywe cku wahi kuzi votia mbona hamzungumzia zile za Uganda Shardcole tulizo mkalisha wiz kid yaan cku izi tukichukua tuzo hatuoni ajabu kazi kwenu nomination mnaweka new alert

Mkuu acha kujitia upofu, tuzo za NEA ni miongoni mwa tuzo zenye heshima sana hapa Africa, hata Diamond amewah kukiri hilo, tuzo hizi zina status kubwa sana kitendo cha Diamond kukosa tuzo hii ambayo alitumia nguvu kubwa sana kujipigia promo + propaganda na uongo mwingi ni aibu kubwa kwake.
 
Tuzo zenye heshima Nigeria ni the headies na ndo tuzo zilizo watambulisha wakina wiz kid, davido, ice prince, olamide, tiwa savage, dr sid, sean tizzle cjui Kama Una zijua izo zingine ni za kawaida
 
Tuzo zenye heshima Nigeria ni the headies na ndo tuzo zilizo watambulisha wakina wiz kid, davido, ice prince, olamide, tiwa savage, dr sid, sean tizzle cjui Kama Una zijua izo zingine ni za kawaida

Kwahiyo leo baada ya kukosa tuzo ndio mnaamua kupingana na kauli ya bro wako Mondy, poa basi tupe ufafanuzi kivip mindy apate votes nyingi hadi system ifungwe alafu mwisho wa siku tuzo abebe mwingine?
 
Mashabiki walisusa au hujui
 
Back
Top Bottom