Diamond aambulia patupu kwenye tuzo za NEA Awards

Kweli mondy anavuta bangi yani anadiriki kuongea shombo hizo?
 
Mpaka aombe msamaha kwa press conference tena airushe live tv na redio zote kwa masaa matatu! Pili kwa hiyo conference afanye live performance ya single atakayokuwa ameitunga specifically kwa ajili ya kuomba msamaha! Habari ndo hiyo!

Hahahaha
 
nisiwe muongo diamond kura zangu kapata nyingi sana kipindi chote cha nyuma ila tangu alipojiingiza chama flani aisee ntabaki shabiki wake wa kawaida ila sitapoteza nguvu yangu kumpigia kura

Kwa bahati mbaya safari hii atakosa vyote, tuzo atakosa na nchi UKAWA tunachukua kiulaini saa 2 asubuhi
 
Kama mimi mkuu
 
Hawezi kuleta pua yake hapa, otherwise aje atueleze ni kwanini diamond avunje record kwa kupata votes nyingi hadi system icorrupt then tuzo ashinde mwingine.
 
Last edited by a moderator:

Izi tuzo me mwenywe cku wahi kuzi votia mbona hamzungumzia zile za Uganda Shardcole tulizo mkalisha wiz kid yaan cku izi tukichukua tuzo hatuoni ajabu kazi kwenu nomination mnaweka new alert
 
Last edited by a moderator:

Kwan kuna team kiba me najua kuna team wema na ndo walimuambia kiba aseme anapenda magufuli na kumfanya afanye show za ccm lasivyo hapati kura
 
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe, acha negativity, sanasana zitakurudia mwenyewe
 
Hawezi kuleta pua yake hapa, otherwise aje atueleze ni kwanini diamond avunje record kwa kupata votes nyingi hadi system icorrupt then tuzo ashinde mwingine.
Walidanganya ila angechukua tusingepumua mjini hapa
 
Kwan kuna team kiba me najua kuna team wema na ndo walimuambia kiba aseme anapenda magufuli na kumfanya afanye show za ccm lasivyo hapati kura
Uongo wako ww ni classic kabisa unavigezo vyote vya kufanya kazi kwa shigongo
 
Izi tuzo me mwenywe cku wahi kuzi votia mbona hamzungumzia zile za Uganda Shardcole tulizo mkalisha wiz kid yaan cku izi tukichukua tuzo hatuoni ajabu kazi kwenu nomination mnaweka new alert

Mkuu acha kujitia upofu, tuzo za NEA ni miongoni mwa tuzo zenye heshima sana hapa Africa, hata Diamond amewah kukiri hilo, tuzo hizi zina status kubwa sana kitendo cha Diamond kukosa tuzo hii ambayo alitumia nguvu kubwa sana kujipigia promo + propaganda na uongo mwingi ni aibu kubwa kwake.
 
Last edited by a moderator:

Tuzo zenye heshima Nigeria ni the headies na ndo tuzo zilizo watambulisha wakina wiz kid, davido, ice prince, olamide, tiwa savage, dr sid, sean tizzle cjui Kama Una zijua izo zingine ni za kawaida
 
Tuzo zenye heshima Nigeria ni the headies na ndo tuzo zilizo watambulisha wakina wiz kid, davido, ice prince, olamide, tiwa savage, dr sid, sean tizzle cjui Kama Una zijua izo zingine ni za kawaida

Kwahiyo leo baada ya kukosa tuzo ndio mnaamua kupingana na kauli ya bro wako Mondy, poa basi tupe ufafanuzi kivip mindy apate votes nyingi hadi system ifungwe alafu mwisho wa siku tuzo abebe mwingine?
 
Mashabiki walisusa au hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…