Diamond aanza kuvaa kikuku mguu wa kushoto

Nini maana ya kuvaa kikuku?? Ni jinsia gani ina urembo huu wa kuvaa kikuku?
Huyo jamaanilikuwa namkubali sana ila stage hii alofikia sasa ni hatari inawezekana kuna mengi nyuma ya macanikio yake ya kimuziki.
Nawasiwasi na kiuno chake pia
 
Usikute masharti ya waganga sie huku tunadanganyana ubunifu
 
Pesa shetani
 
Du kwa hiyo mond tayari [emoji12]
 
kwani tamaduni za kabila lao zinaruhusu kuvaa vikuku kwa ME?
 
Hivi kwa watakao ingia peponi mziki na pombe huko c vtakua ruhusa tu..!!? ina maana watasikiza miziki walioimba akina nani!!? Since waimbaji wenyewe wamechomwa kwa mziki unaoburudisha wasiochomwa!!
 
Hivi kwa watakao ingia peponi mziki na pombe huko c vtakua ruhusa tu..!!? ina maana watasikiza miziki walioimba akina nani!!? Since waimbaji wenyewe wamechomwa kwa mziki unaoburudisha wasiochomwa!!
bony mwaitege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…