Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Kimtindo kama vile kuna kitu unatakaHaya bana ila kuna msemo unasema ukikaa na uwaridi utanukia tu si mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimtindo kama vile kuna kitu unatakaHaya bana ila kuna msemo unasema ukikaa na uwaridi utanukia tu si mbaya
Huu ni upuuzi kwa mtoto wa kiume kuvaa urembo wa kike. Huyu dogo kuiga kwingi sana anashindwa kusimama yeye kama yeye anaiga sana umarekani.Mwanaume halisi wa dsm,naona anamuiga chris brown,ni mwendo wa vikukuuuuu babaakeeeeView attachment 809316
Nawasiwasi na kiuno chake piaNini maana ya kuvaa kikuku?? Ni jinsia gani ina urembo huu wa kuvaa kikuku?
Huyo jamaanilikuwa namkubali sana ila stage hii alofikia sasa ni hatari inawezekana kuna mengi nyuma ya macanikio yake ya kimuziki.
ya shingapi[emoji83] [emoji204]Mzee wake ana hasara
Hahahaaaa inawezekana A na B yakawa yote majibuNawasiwasi na kiuno chake pia
Pesa shetaniJamaa mmoja gym alikua ananiambia tajiri lazima afanye starehe zote hadi kufir.wa (ana hela kimtindo) nikamuuliza wewe tayari? Akajibu tayari, na ilikua yeye na mshkaji wake walisikia kua ukitumia cocaine unachelewa kumwaga.
Wakaamua kujaribu kwa kufanyana kizamu zamu. Nikamuuliza hiyo ishu ni kweli? Akajibu hapana, walikojoleana fasta tu.
Jamaa namuangalia kwa jicho la tofauti sana.
Du kwa hiyo mond tayari [emoji12]Jamaa mmoja gym alikua ananiambia tajiri lazima afanye starehe zote hadi kufir.wa (ana hela kimtindo) nikamuuliza wewe tayari? Akajibu tayari, na ilikua yeye na mshkaji wake walisikia kua ukitumia cocaine unachelewa kumwaga.
Wakaamua kujaribu kwa kufanyana kizamu zamu. Nikamuuliza hiyo ishu ni kweli? Akajibu hapana, walikojoleana fasta tu.
Jamaa namuangalia kwa jicho la tofauti sana.
Waliberali hahahahaUzuri Diamond ni MuIslam tena nasikia anajenga Msikiti sijui...labda utakuwa msikiti wa waliberali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huenda ana mkatama na Tigo
bony mwaitegeHivi kwa watakao ingia peponi mziki na pombe huko c vtakua ruhusa tu..!!? ina maana watasikiza miziki walioimba akina nani!!? Since waimbaji wenyewe wamechomwa kwa mziki unaoburudisha wasiochomwa!!
Aah kwahyo bado watakua hawako huru kuskiza nyimbo wanazotaka kama za kina gigy money ukizingatia wako peponi means wako huru kuchagua wanachotaka!!?bony mwaitege
😛Ili animege au?