Diamond aanza kuvaa kikuku mguu wa kushoto

Huyu jamaa tangu avur nguo Jukwaani nilishaanza kumuona sio riz'k
 

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu umenichekesha,we are on the same boat
 
Ha hah ha haha
 
Niliweza kuingia hiyo gym kwakua klabu niliyokua nalinda ilitaka walinzi wake wote wafanyia mazoezi hapo.

Ila punguza kuandika kiramli ramli.
ha haha haha
 
Mzee wake alisema all in all atapata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…