Diamond aanza kuvaa kikuku mguu wa kushoto

Diamond aanza kuvaa kikuku mguu wa kushoto


"Chris Brown Shows Off $30K Diamond Ankle Bracelets"

images



Unganisheni nukta.
 
Huyu jamaa tangu avur nguo Jukwaani nilishaanza kumuona sio riz'k
 
Huyo sijui kama anawazia hata bili ya umeme.
Sijatoka ndani siku ya nne nadaiwa bili ya umeme ya mwezi huu, chakula napitishiwa kati ya uwazi wa paa na kenchi.
Mwenye nyumba nahisi kasimama palepale nilipomwacha juzi ananitegea nitoke.

Raha ya kuvaa kikuku nitaitoa wapi?

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu umenichekesha,we are on the same boat
 
Jamaa mmoja gym alikua ananiambia tajiri lazima afanye starehe zote hadi kufir.wa (ana hela kimtindo) nikamuuliza wewe tayari? Akajibu tayari, na ilikua yeye na mshkaji wake walisikia kua ukitumia cocaine unachelewa kumwaga.

Wakaamua kujaribu kwa kufanyana kizamu zamu. Nikamuuliza hiyo ishu ni kweli? Akajibu hapana, walikojoleana fasta tu.

Jamaa namuangalia kwa jicho la tofauti sana.
Ha hah ha haha
 
Niliweza kuingia hiyo gym kwakua klabu niliyokua nalinda ilitaka walinzi wake wote wafanyia mazoezi hapo.

Ila punguza kuandika kiramli ramli.
ha haha haha
 
Mzee wake alisema all in all atapata tabu sana
 
Back
Top Bottom