wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,468
- 2,090
"Chris Brown Shows Off $30K Diamond Ankle Bracelets"
Unganisheni nukta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba kuvaa kikuku fresh?Hivi wazungu wanajua kwamba ukivaa hivyo ni ishara ya ushoga?
Huyo sijui kama anawazia hata bili ya umeme.
Sijatoka ndani siku ya nne nadaiwa bili ya umeme ya mwezi huu, chakula napitishiwa kati ya uwazi wa paa na kenchi.
Mwenye nyumba nahisi kasimama palepale nilipomwacha juzi ananitegea nitoke.
Raha ya kuvaa kikuku nitaitoa wapi?
Sasa mnataka kutuaminisha Diamond anaf!rwa ?
Mkuu hupo hadi hukuJaman hembe muachen my husband to be hicho kikuku ni changu
Unajuaje km havaiKabakiza kuvaa bikini tu huyu jamaa maana kipini puani, sketi, nywele kama nyasi na kikuku tayari mzee baba ....
Mkuu hupo hadi hukuJaman hembe muachen my husband to be hicho kikuku ni changu
ha haha hahaHirizi hiyo kama ya papy kabamba tshishimbi
Ha hah ha hahaJamaa mmoja gym alikua ananiambia tajiri lazima afanye starehe zote hadi kufir.wa (ana hela kimtindo) nikamuuliza wewe tayari? Akajibu tayari, na ilikua yeye na mshkaji wake walisikia kua ukitumia cocaine unachelewa kumwaga.
Wakaamua kujaribu kwa kufanyana kizamu zamu. Nikamuuliza hiyo ishu ni kweli? Akajibu hapana, walikojoleana fasta tu.
Jamaa namuangalia kwa jicho la tofauti sana.
ha haha hahaNiliweza kuingia hiyo gym kwakua klabu niliyokua nalinda ilitaka walinzi wake wote wafanyia mazoezi hapo.
Ila punguza kuandika kiramli ramli.
Tulia mama,huo ndo ujanjaThose are damn ugly socks.
Ama ndo usanii?