Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan ulitakaje?Dah eti hii nayo ni habari ya kufungulia uzi..
#Bullshit
#empty set kabisa
Sawa tyudiamond anashow nyingi sana hapa Mombasa
Shindwaaamtoa mada, njoo PM plz
Basi fureshi.Dadake diamond esma wakati anahojiwa wakati wa shughuli ya arobaini ya zama alisema haoni tatizo lolote kuhusu mondi kuvaa kikuku
Haya sasa mnaotokwa na povu sawa, ila dada mtu keshabariki tiyari,,
~~~>>>Kama aliweza kuvua suruali na kubong'oa stejini atashindwa kuvaa kikuuu?????Dadake diamond esma wakati anahojiwa wakati wa shughuli ya arobaini ya zama alisema haoni tatizo lolote kuhusu mondi kuvaa kikuku
Haya sasa mnaotokwa na povu sawa, ila dada mtu keshabariki tiyari,,
Shanga tena...!!!Avae na shanga tuu!si yeye na maisha yake bana nyie inawawasha nini