Diamond acha kuteka nyimbo za uliowasaini

Diamond acha kuteka nyimbo za uliowasaini

Ukweli UNAUMA SANA.

Bahati nzuri Diamond muda mwingine huwa anazingatia maoni na ushauri unaotolewa na wadau. Nakumbuka tulimshauri kuacha tabia ya kumsimanga Mzee Abdul hata kama kweli sio baba yake, Tukamshauri asikubali Mama yake kujiachia kwenye matukio na mitandoa kama kina Zuchu bali amshauri aubebe umama wake na ubibi kwa wanae, bahati nzuri sana KAZIFANYIA KAZI ZOTE HIZO.

Ila nyie chawa wake ndio hamtaki kuona Nasib akikosolewa.
 
Umeandika kwa mapenzi zaidi kuliko facts
 
Chai
 
Mtoa mada punguza chuki na mihemko na pia uwe unafanya utafiti kabla ya kuanza kupandisha mashetani.

Kuhusu collabo na wasanii wake; hao wasanii wote unaona hapo WCB wamekaa zaidi ya mwaka hadi kuja kutambulishwa, aliyekaa muda mfupi ni Dvoice miezi 9. Swali la kujiuliza kabla ya kutambulishwa unajua hao wasanii walikuwa wakifanya nn hapo WCB?

Hadi unawaona wasanii wa WCB wana uwezo wa kutengeneza hits hilo ni darasa kipindi wapo ndichi wakifunzwa mambo mengi khsu sanaa eg branding, uandishi, mawasiliano etc. Hadi ngoma inatoka WCB basi imepitishwa na bosi wao na kuidhinishwa.

Khsu Enjoy, kitu ambacho waTz wengi hatukifahamu ni kuwa Diamond ndio msanii pekee ambaye ndiye International artist nje zaidi ya mipaka ya Africa mashariki hakuna kiumbe yyte yule anamfikia Diamond sio kwa ushawishi au umaarufu.

Kwa hiyo kuna mawili msanii unataka sifa au unataka pesa, km unataka sifa wafate wasanii wengine mbali na wa WCB ila km unataka pesa wafate WCB na ndio Jux alichochagua. Unadhani bila uwepo wa Mond kwenye Enjoy, Jux angepanda BK Arena? Unadhani bila uwepo wa Diamond kwenye tetema ngoma ingekuwa kubwa kiasi kile?

Kufanya kazi na Diamond kuna kufungulia milango zaidi na kukuingizia pesa zaidi kwenye digital platforms, mfano Komando, Enjoy, Kwangaru, Tetema, Baikoko zimewaingizia pesa nyingi hao wasanii na umaarufu mkubwa ktk historia za muziki wao.

Huyo Harmonize unayesema aliona ujinga, ni kipi amefanya kikubwa ambacho Zuchu hajafanya huku akiwa na muda mchache kwenye game? Harmonize ana album 5 ndani ya miaka 5 na hakuna album yyte ile inayoifikia kwa mauzo FOA EP katika platforms zote.
Chawa pro² max
 
Ukweli UNAUMA SANA.

Bahati nzuri Diamond muda mwingine huwa anazingatia maoni na ushauri unaotolewa na wadau. Nakumbuka tulimshauri kuacha tabia ya kumsimanga Mzee Abdul hata kama kweli sio baba yake, Tukamshauri asikubali Mama yake kujiachia kwenye matukio na mitandoa kama kina Zuchu bali amshauri aubebe umama wake na ubibi kwa wanae, bahati nzuri sana KAZIFANYIA KAZI ZOTE HIZO.

Ila nyie chawa wake ndio hamtaki kuona Nasib akikosolewa.
Hekaya za abunuasi
 
All in all Harmonize baada ya kujitoa ndipo amepanda zaidi hata kama hamfikii Diamond, na angeendelea kukaa pale angekuwa anamfanyia kazi Diamond tu ambaye kila kizuri anataka awe ni yeye. Huwezi kumlinganisha Harmonize na wooote waliopo chini ya lebo ya WCB.

Na ndio maana hata wale walio nje ya lebo yake wanapotoa ngoma za maana yeye anatoa hela kuhakikisha hazi trend kwenye Media. Mtu wa hivi ni hatari sana katika ukuaji wa wasanii wengine

Respect Harmonize uliona mbali na upo huru.

Namkubali Diamond sana lakini siukubali UKOLONI WAKE kwa anaowasaini
Kwenye ulimwengu wa kibepari, samaki mkubwa anamla mdogo.

Ile ni biashara, kama mnadhani Mond anafanya msaada kalagha baho
 
Baba Levo katika ubora wako
Ostaz Juma Namusoma, huna lolote ww la kumshauri Diamond. Unge ya shauri kwanza maisha yako kuliko hiyo chuki yako kwa Diamond haitofanya umaskini wako upungue, siku katika nyanja zako na ww serikali kuu ikikusikiliza ndio utaweza kumshauri Diamond ila kwa sasa endeleza tu hekaya zako za abunuasi. Huwezi mshauri mtu aliyekuzidi exposure na kila kitu ww endelea tu kuwa keyboard warrior
 
😂😂😂😂😂😂
 
Diamond kila anapomsaini msanii kwenye lebo yake halafu akaona mwanamziki ana nyimbo nzuri lazima atataka yeye ndie awe muhusika wa juu/ main character kuliko hata mwenye nyimbo.

Kafanya hivyo kwa Hamonize kwenye nyimbo ya lakini bado na kwa ngwaru.

Kafanya hivyo kwenye wimbo wa enjoy nk. Akiona wimbo hautatoboa ndipo anamuachia msanii aimbe mwenyewe.

Ndio maana Hamonize aliona huu ni ujinga mkubwa.
Kwa hiyo Diamond siku hizi mbali na kufanya mziki ameingia kwenye jukumu la kubashiri kiasi cha kujua wimbo upi utakuwa hit ili ajiweke main na upi utakuwa flop .
 
Umeandika vizuri Sana Ila hapo kwenye "uandishi" ndipo ntaenda tofauti nawewe ulivosema kua "Harmonize hamfikii Mbosso miaka buku"...
Sijui unaposema uandishi unazingatia kitu gani Ila kwangu kwa upande wa wabana pua ukimtoa Mond na Alikiba hakuna msanii hata mmoja anayeweza kumgusa konde boy he is lyrical and gifted ni hatari sana.
Naomba tuanzishe mjadala hapa
Labda kama umeogopa kupigwa mawe ya maandishi. Ila nachojua Diamond hana uwezo wa kumfikia Harmonize kwa uandishi na kucheza na maneno ya kiswahili bila kujaza lugha za matusi kama afanyavyo Diamond.
 
Kumbe shamba la bwana kheri na mbuzi n wa bwana kheri yooote ni KHERI.
 
Back
Top Bottom