Diamond acha kuteka nyimbo za uliowasaini

Ukweli UNAUMA SANA.

Bahati nzuri Diamond muda mwingine huwa anazingatia maoni na ushauri unaotolewa na wadau. Nakumbuka tulimshauri kuacha tabia ya kumsimanga Mzee Abdul hata kama kweli sio baba yake, Tukamshauri asikubali Mama yake kujiachia kwenye matukio na mitandoa kama kina Zuchu bali amshauri aubebe umama wake na ubibi kwa wanae, bahati nzuri sana KAZIFANYIA KAZI ZOTE HIZO.

Ila nyie chawa wake ndio hamtaki kuona Nasib akikosolewa.
 
Umeandika kwa mapenzi zaidi kuliko facts
 
Chai
 
Chawa proΒ² max
 
Hekaya za abunuasi
 
Kwenye ulimwengu wa kibepari, samaki mkubwa anamla mdogo.

Ile ni biashara, kama mnadhani Mond anafanya msaada kalagha baho
 
Baba Levo katika ubora wako
Ostaz Juma Namusoma, huna lolote ww la kumshauri Diamond. Unge ya shauri kwanza maisha yako kuliko hiyo chuki yako kwa Diamond haitofanya umaskini wako upungue, siku katika nyanja zako na ww serikali kuu ikikusikiliza ndio utaweza kumshauri Diamond ila kwa sasa endeleza tu hekaya zako za abunuasi. Huwezi mshauri mtu aliyekuzidi exposure na kila kitu ww endelea tu kuwa keyboard warrior
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hiyo Diamond siku hizi mbali na kufanya mziki ameingia kwenye jukumu la kubashiri kiasi cha kujua wimbo upi utakuwa hit ili ajiweke main na upi utakuwa flop .
 
Labda kama umeogopa kupigwa mawe ya maandishi. Ila nachojua Diamond hana uwezo wa kumfikia Harmonize kwa uandishi na kucheza na maneno ya kiswahili bila kujaza lugha za matusi kama afanyavyo Diamond.
 
Kumbe shamba la bwana kheri na mbuzi n wa bwana kheri yooote ni KHERI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…