Diamond achaguliwa tena kuwania tuzo za BET kipengele cha Best International Act Africa

HAPO NI NGUMU HIYO YA WIZKID MAANA JAMAA KILA MWAKA YUPO
 
Acha kijana aiwakilishe vyema tanzania mimi binafsi na mkubali sana kijana baba tiffa, kuna namna tunaweza kumeenzi kama our hero ila sio kwa namna mbunge yuleeee juha wa ccm kutaka sanama ya askari wetu aweke baba tiffa wakati askari wetu walipigana kufa na kupona kulikombia taifa letu...
 
Umesahau pia ata perform june 26
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…