Diamond achaguliwa tena kuwania tuzo za BET kipengele cha Best International Act Africa

Diamond achaguliwa tena kuwania tuzo za BET kipengele cha Best International Act Africa

7-10-648x334.png



Mwanamuziki Nasibu Abdul maarufu Diamond Platnumz amekuwa ni msanii pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kutajwa katika orodha ya wasanii watakaowania tuzo za BET 2016.

Tuzo za BET mwaka huu zitafanyika Juni 26 katika ukumbi wa Microsoft Theater ulioko Los Angeles Marekani. Hapa chini ni orodha kamili ya wasanii waliotajwa kushiriki na tuzo wananzowania.

Best International Act Africa

AKA (SOUTH AFRICA)

BLACK COFFEE (SOUTH AFRICA)

CASSPER NYOVEST (SOUTH AFRICA)

DIAMOND PLATNUMZ (TANZANIA)

MZVEE (Ghana)

SERGE BEYNAUD (COTE D’IVOIRE)

WIZKID (NIGERIA)

YEMI ALADE (NIGERIA)


Best Female R&B/Pop Artist

ADELE

ANDRA DAY

BEYONCÉ

K. MICHELLE

RIHANNA

Best Male R&B/Pop Artist

BRYSON TILLER

CHRIS BROWN

JEREMIH

THE WEEKND

TYRESE

Best Group

2 CHAINZ & LIL WAYNE

DRAKE & FUTURE

PUFF DADDY & THE FAMILY

RAE SREMMURD

THE INTERNET

Best Collaboration

BIG SEAN FT. CHRIS BROWN & TY DOLLA $IGN – PLAY NO GAMES

BIG SEAN FT. KANYE WEST & JOHN LEGEND – ONE MAN CAN CHANGE THE WORLD

FUTURE FT. DRAKE – WHERE YA AT

NICKI MINAJ FT. BEYONCÉ – FEELING MYSELF

RIHANNA FT. DRAKE – WORK

Best Male Hip Hop Artist

DRAKE

FETTY WAP

FUTURE

J. COLE

KANYE WEST

KENDRICK LAMAR

Best Female Hip Hop Artist

DEJ LOAF

LIL KIM

MISSY ELLIOTT

NICKI MINAJ

REMY MA

Video of the Year

BEYONCÉ – FORMATION

BRYSON TILLER – DON’T

DRAKE – HOTLINE BLING

KENDRICK LAMAR – ALRIGHT

RIHANNA FT. DRAKE – WORK

Video Director of the Year

BENNY BOOM

CHRIS BROWN

COLIN TILLEY & THE LITTLE HOMIES

DIRECTOR X

HYPE WILLIAMS

Best New Artist

ALESSIA CARA

ANDRA DAY

BRYSON TILLER

KEHLANI

TORY LANEZ

Dr. Bobby Jones Best Gospel/Inspirational Award

ANTHONY BROWN & GROUP THERAPY

ERICA CAMPBELL

KIRK FRANKLIN

LECRAE

TAMELA MANN

TASHA COBBS

Best Actress

GABRIELLE UNION

KERRY WASHINGTON

TARAJI P. HENSON

TRACEE ELLIS ROSS

VIOLA DAVIS

Best Actor

ANTHONY ANDERSON

COURTNEY B. VANCE

IDRIS ELBA

MICHAEL B. JORDAN

O’SHEA JACKSON JR.

YoungStars Award

AMANDLA STENBERG

QUVENZHANÉ WALLIS

SILENTÓ

WILLOW SMITH

YARA SHAHIDI

Best Movie

BEASTS OF NO NATION
CONCUSSION
CREED
DOPE
STRAIGHT OUTTA COMPTON

Sportswoman of the Year

CHEYENNE WOODS

GABRIELLE DOUGLAS

SERENA WILLIAMS

SKYLAR DIGGINS

VENUS WILLIAMS

Sportsman of the Year

CAM NEWTON

KOBE BRYANT

LEBRON JAMES

ODELL BECKHAM JR.

STEPHEN CURRY

Coca-Cola Viewers’ Choice Award

BEYONCÉ – FORMATION

BRYSON TILLER – DON’T

CHRIS BROWN – BACK TO SLEEP

DRAKE – HOTLINE BLING

FUTURE FT. DRAKE – WHERE YA AT

RIHANNA FT. DRAKE – WORK

Centric Award

ANDRA DAY – RISE UP

BEYONCÉ – FORMATION

K. MICHELLE – NOT A LITTLE BIT

RIHANNA – BBHMM

THE INTERNET – UNDER CONTROL


Best International Act UK

KANO

KREPT & KONAN

LIANNE LA HAVAS

SKEPTA

STORMZY

TINIE TEMPAH
SAFI SANA SIMBA MKALI.. PIGA KAZI ACHANA NA LILE MBULULAZZ LINALOIMBA KAMA LIMEBANWA NA KITU..
 
Kila la heri Diamond Platinumz, nimefarijika kuona Kelvin Lels anakuzingumzia wewe ni dunia nyingine.. Wekeni link tupige kura mpaka tcra watukamate
 
Hivi wakuu si ndiyo hizi tuzo ambazo huwa wasanii wa Africa wanapokea tuzo nyuma ya Jukwaa saa12 asubuh kabla ya event rasmi ya kutoa tuzo kuanza?
Ndio zenyewe best, lakini tukiipata hiyo siku ndege zitaairisha safari zake pale air port, mmejipangaje na ile movement ya vote for WIZKID? manake ile ya vote for DAVIDO mlijituma!!
 
Ndio zenyewe best, lakini tukiipata hiyo siku ndege zitaairisha safari zake pale air port, mmejipangaje na ile movement ya vote for WIZKID? manake ile ya vote for DAVIDO mlijituma!!

Hahaha mkuu Paula kilaki za siku,!! Movement ya vote for wizkid, tutazindua rasmi weekend hii safari hii haponi mtu kabisa.
 
Ndio zenyewe best, lakini tukiipata hiyo siku ndege zitaairisha safari zake pale air port, mmejipangaje na ile movement ya vote for WIZKID? manake ile ya vote for DAVIDO mlijituma!!
Paula kilaki umehamia jukwaa gani siku hizi jamani! ?

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Hyo ya Africa napenda Yemi ashinde wimbo wake wa kiswahili umenikosha sana
 
Nadhani Diamond na wizzkid ndo wasanii wa kwanza Africa kuwa nominated mara mbili tuzo hizi,this time diamond anabeba
 
Huyo casper nyovest anapendwa sana aiseeee
Sure ila wabongo hawajamstukia wengi unajua cassper hana nyodo km A.K.A ndo maana hata wa south wanampenda me pia namuelewa kwny hip hop ya africa sarkodie n cassper nyovest ndo nawaelewa
 
Jmn how can i vote, coz naingia nikifika pale kwenye picha zao afu chini vote nashindwa nifanyaje maana nikiclik vote sion kitu, nisaidien
 
Back
Top Bottom