kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,921
- 7,173
Tayari nimesha vote, unavote mara ngapi? nimejaribu kuvote mara nyingi zaidi inakataa! wabongo tuthamini vya kwetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WIZ NI HATARI SAANA, OJUELEGBAWizkid is a real threat
kumbe ni nini ? lete storyUnafikiri ni kujituma peke yake basi mkuu?
tangu lini msanii aliyeko chini ya sony music akafanikiwa kimataifa???au hujui davido naye yupo sony
Ali Kiba hawamtendei haki yaani siku zote yeye niwa kucheza tu na watoto mchangani (Kili awards).
kuna wajinga wataanza na kampeni zao za vote for wizkid hasa ile team ya madam mata.ko ya bata...isshhhhhh iam sorry km nimewakwaza....Aisee nafikiri hii ndio kubwa zaidi.. Sipati picha mpunga atakaopiga hapo.. All in all namuamini sana sitoshangaa hii platform ikabadili kabisa game ya Bongo fleva.
Yeah. huyo huyo mfalme asiye na joho wala nchi,wewe huoni kama wana mtenga?Mkuu unamzungumzia Alikiba yupi? Huyu Msanii wa kimataifa aliyepo label moja na Chris brown, Davudo, john legend, Beyonce? Huyu huyu Alikiba ambaye ni Ambasador wa makampuni 7 makubwa Africa.
good boooy!now ni mwendo wa kubonyeza kitufe cha VOTE tu.Mungu amjaalie aibebe hii na naamini history ya makubwa alofanya mwaka jana itamsaidia sn ktk hizi tuzo.