Diamond achaguliwa tena kuwania tuzo za BET kipengele cha Best International Act Africa

Diamond achaguliwa tena kuwania tuzo za BET kipengele cha Best International Act Africa

Tayari nimesha vote, unavote mara ngapi? nimejaribu kuvote mara nyingi zaidi inakataa! wabongo tuthamini vya kwetu
 
Hiyo tuzo ya kijana wetu tu, maana mpinzani hapo ni wizkid, ila jamaa waga hajiangaishi na either kuomba kura wala kupromote chochote kuhusu tuzo so at wenye tuzo waga wanaona km ana zidharau bora kumpa anaeonesha kuzihitaji kweli, so kimebaki kupiga kura za kuzugia na kuipromoti hiyo nomination basi mzigo utue tz
 
tangu lini msanii aliyeko chini ya sony music akafanikiwa kimataifa???au hujui davido naye yupo sony

Mkuu wasanii wa Sony hawafanikiwi? Kwani hujawaona hapo Chris brown, Beyonce, John Legend wote si wapo chin ya Sony au na wewe umejitia upofu.
 
Ali Kiba hawamtendei haki yaani siku zote yeye niwa kucheza tu na watoto mchangani (Kili awards).

Mkuu unamzungumzia Alikiba yupi? Huyu Msanii wa kimataifa aliyepo label moja na Chris brown, Davudo, john legend, Beyonce? Huyu huyu Alikiba ambaye ni Ambasador wa makampuni 7 makubwa Africa.
 
Aisee nafikiri hii ndio kubwa zaidi.. Sipati picha mpunga atakaopiga hapo.. All in all namuamini sana sitoshangaa hii platform ikabadili kabisa game ya Bongo fleva.
kuna wajinga wataanza na kampeni zao za vote for wizkid hasa ile team ya madam mata.ko ya bata...isshhhhhh iam sorry km nimewakwaza....
 
Mkuu unamzungumzia Alikiba yupi? Huyu Msanii wa kimataifa aliyepo label moja na Chris brown, Davudo, john legend, Beyonce? Huyu huyu Alikiba ambaye ni Ambasador wa makampuni 7 makubwa Africa.
Yeah. huyo huyo mfalme asiye na joho wala nchi,wewe huoni kama wana mtenga?
 
good boooy!now ni mwendo wa kubonyeza kitufe cha VOTE tu.Mungu amjaalie aibebe hii na naamini history ya makubwa alofanya mwaka jana itamsaidia sn ktk hizi tuzo.
 
Back
Top Bottom