Diamond achaguliwa tena kuwania tuzo za BET kipengele cha Best International Act Africa

Mbona kama simuoni Davido? Mwaka wa pili mfululizo, kuna kitu anakosea sehemu...

Tuzo ya Diamond hiyo, asubiri kuichukua 26th July

tangu lini msanii aliyeko chini ya sony music akafanikiwa kimataifa???au hujui davido naye yupo sony
 
Kupitia Hilii Naona Vitu vingi mbeleni kwa Diamond!

1.From Tandale to the world tour imempa mashabiki wengi nchi marekani na nchi zingine zote alizo pitia hivyo kwa Afrika sina Mashaka Na kura Zao kwasababu Ndo pekee alie fanya Show nyingi Ulaya ukiringanisha na hao wengine!

2.Show Anazorudi tena Kufanya Marekani Mwezi huu na ujao Zitampa mashabiki wengi wa kuwezesha kupiga kura! Na zikamfanya kuwa mshindi

3.Anarudi katika Jukwaa hilo kwa mara ya Pili kuperform pamoja na Kuwania tuzo Akiwa ndo msanii pekee Afrika alie fanya hivyo ikiwa walie kuwa nae Mwanzo Kachemka kujituma kuhakikisha anarudi tenaa! Hivyo waandaji wa tuzo zile sio wababaishaji wanaangalia Facts so its true Diamond kastahili! Lakini Davido kashindwa means Diamond watamuona tena kwa mara ya pili na itawafanya Wajiulize sana Kwanini Diamond?

4.Kitendo cha Diamond kuperfom mara ya pili + kuwania tuzo kunamfanya awe tofauti na washindani wake!

5.Tutegemee Collabo nyingine kubwa mwaka huu itakayo unganishwa kupitia hizi tuzo kumbuka diamond anarudi kwa mara ya pili hivyo ni mzoefu kidogo tofauti na neyo tutegemee Collabo nyingine!

5.Kama collabo ya P-squre/Na Neyo itatoka kabla ya hizi tuzo hakika Diamond itampa Mashabiki wengi zaidi na zaidi!

6.Kama Neyo ataamua Kumpa shout out na kumuombea Mashabiki hakika Diamond atakuwa pazuri na hilo ni Lazima litatokea

7.Mengineyo yapo mengi sana ya kumfanya Diamond achukue Tuzo hii kama ukiangalia show alizo fanya Diamond na Ratiba yake ya show kabisa za marekani na nchi zingine,kitendo tuu cha kupiga picha na Kanye West hata kama yeye hakupost kitampa mashabiki,Yule alie cheza Empare akiamua kumpa Diamond support hii tuzo Itarudi Bongo

Kwangu mimi kwa kupitia hayo hapo Juu nadiriki Kusema tuzo hii Diamond Hana Mpinzani kabisaaaa ukiangalia South Africa tayari anamashabiki kupitia kwa AKA na Mafikizolo

So tupige kura huku tukijiandaa kwenda Airport!
 
Sasa atoe wimbo kusindikizia tuzo hii, nadhani atanyakuwa asubuhi saa kumi na mbili...!!

Sidhani kama Make me sing bado ipo juu kumbeba kwenye tuzo hizi, hata Je Utanipenda haikufanya vizuri sana sokoni. Kimataifa NANA iko vichwani mwa watu.

BACK TANGANYIKA
 
Hivi wakuu si ndiyo hizi tuzo ambazo huwa wasanii wa Africa wanapokea tuzo nyuma ya Jukwaa saa12 asubuh kabla ya event rasmi ya kutoa tuzo kuanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…