Diamond adaiwa kutelekeza watoto wake

I think umeenda mbali Kama Ni kweli Diamond anatimiza majukumu yake yote Kama baba
Basi atakuwa anaonewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanamke kwanza anapesa hawezi shindwa kulea watoto lasivyo hilo jina la bossslady alifute pia akumbuke anaishi kwenye nyumba ya nani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu najivunza hapa
Mkuu hivi majukumu ya baba kwa mtoto hasa Ni Nini?
-Kutoka pesa
-Uwepo wa affection na bonding Kati ya baba na watoto
-kutoa makazi
Ni Nini hasa Cha muhimu kwa watoto especially Hawa chini ya miaka 7


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wew ushawahi kukaa nae??? Kama unaona Zari hana mafanikio wewe ni Hater mkuu... Pambana na hali tu ilaa jua yule mwanamke Jeuri anayo sababu pesa anayoo....

Sent using Jamii Forums mobile app
Lol, sitashangaa kwa comment yako hahaha eti Hater kwa Zari lol mimi hali yangu napambana nayo ndio maana sijawahi kulia lia kwenye mitandao sasa yeye kila kitu anacho why analia?
 
[emoji3][emoji3][emoji3] wanaume wengi hapo ndo wanajikuta wanasusa Hadi watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu sanaaa...Ngumu mnoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani wana huwa wanasusa jumla maana ukimuita aje kuchukua hela ulee nyampu anabanaa... alafu kuna mwana anamlaa fresh tu aisee inauma sana.. Hapo ndo huwa unapotezea jumlaa ukiona Jamaa anatoa pesa jua habaniwii mchongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol, sitashangaa kwa comment yako hahaha eti Hater kwa Zari lol mimi hali yangu napambana nayo ndio maana sijawahi kulia lia kwenye mitandao sasa yeye kila kitu anacho why analia?
Hapo kacomment tu aliekuwa analia ni Mabetto mpaka kampeleka mond mahakamani.. Zari kapewa watoto wawili na bado kakausha kimyaa.. Pesa ya mondi inatafunwa na vimada wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol, sitashangaa kwa comment yako hahaha eti Hater kwa Zari lol mimi hali yangu napambana nayo ndio maana sijawahi kulia lia kwenye mitandao sasa yeye kila kitu anacho why analia?
I think you take it too personal mbona Ni mada ya kawaida tu hi
Unajua hata Janet Jackson na pesa zake bado alimkomalia yule jamaa wa kiarabu atoe malezi
Na malezi kwa mtoto sio pesa Apo ndo wengi tunakosea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikawida baba ndo mwenyew majukumu ya kutoa matunzo ya familia kama mama Hana kazi ya kufanya , wakati hili ni jukumu ni lawote ila baba ndo mwenye nguvu zaidi

Malezi ya pande zote mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa aleee nini tena hapo wakati mama anakila kitu kama hela mama anazo nini tena anataka au kulea huko mpaka wote wawepo hapo kuwabeba migongoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata njiwa dume pamoja na kwamba hana utashi hulea makinda wake akishirikiana na njiwa jike...iweje binadam mwenye akili na utashi aache kufanya hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwahahaha ushawahi kakaa na zari wapi huko?

Kuwa social media sio dhambi kika mtu na uhuru wake.

Zari anaumiza wengi sana daah pole
 
I think you take it too personal mbona Ni mada ya kawaida tu hi
Unajua hata Janet Jackson na pesa zake bado alimkomalia yule jamaa wa kiarabu atoe malezi
Na malezi kwa mtoto sio pesa Apo ndo wengi tunakosea


Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wewe ndio uliyeichukulia personal sababu hata kichwa cha habari yako kimelenga kwenye kumshutumu Diamond moja kwa moja kua katelekeza watoto, ukizama ndani ndio eti sababu Zari kamjibu shabiki wake vile,
Zari kama inamuuma yeye kulea watoto peke yake ampeleke mahakamani Mzazi mwenzio japo inawezekana alimaanisha kulea kwa maana ya kuishi nao na sio kama pesa zote anatoa yeye Mond hachangii hata shilingi,

Hua nawashangaa mnapoleta mada mezani halafu mnataka watu wachangie kwa mitazamo yenu, bro huujui msemo usemao 'akili ni nywele na kila mtu ana zake'
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mitandaoni inabdi alie kuonesha Utapeli wa Mondi ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kamtapeli hasa maana watoto wawili wa fasta fasta kisha kalala mbele,
[emoji23][emoji23][emoji23] nadhani Zari anawahitaji zaidi mashabiki wake kipindi hiki.
 
Mkuu umesoma vizuri hicho kichwa Cha habari?.
Nimeandika "Diamond adaiwa kutelekeza watoto"
Ukishaandika adaiwa maana yake Kuna pande mbili either Ni kweli au sio kweli hata kisheria hapo sijamuhukumu diamond.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…