brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
- Thread starter
- #21
I think umeenda mbali Kama Ni kweli Diamond anatimiza majukumu yake yote Kama babaUngekua umewahi kukaa na Zari hata kwa nusu saa ndio ungeelewa ni mtu wa aina gani,
again that woman ni ATTENTION SEEKER,
Halafu wabongo ndio mnampa kiburi huyu eti ana mafanikio kibao kwanini sasa kutwa yupo kwenye social media kugombana na wenye shida?
Basi atakuwa anaonewa
Sent using Jamii Forums mobile app