Diamond adaiwa kutelekeza watoto wake

Kuna baadhi ya vitu ni vigumu sana kuchangia sisi ambao sio wanafamilia wao, ni sawa na ugomvi ukimkuta mume anampiga mkewe then we ukaingilia. Mambo ya Zari na Diamond wanajuana wenyewe walipotakana sikuwepo wanayofanyiana mi hayanihusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…