Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hako ka shosti kanako mdiss zari
Ka nani hako kapuuzi flan hivi?🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ka nani hako kapuuzi flan hivi?🙂
Yani wanawake wasipomchuna MTU pesa wanaona hawajaishiSasa aleee nini tena hapo wakati mama anakila kitu kama hela mama anazo nini tena anataka au kulea huko mpaka wote wawepo hapo kuwabeba migongoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hako kanako mdiss,ni ka nani? 🙂Hako ka shosti kanako mdiss zari
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naanza kupatwa na wasiwasi huenda hata hao watoto ilikuwa nikutafuta kiki labda maana kilakitu usaniisanii tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunguri zikambamba?Sasa wamshobokee kwa lipi jmn ili hali walishaachana. Hlf mbona mobetto alimshobokea sana hd tunguli zikambamba 😀 😀
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Mondi akimsaidia Ruge ndio ataiona pepo ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Like father like Son...!! Tena vile zari jeuriii.... KARMA NEVER FORGET kama Ruge leo hii anaomba misaada Aisee Mondi ajiangalie sanaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sijasema amsaidie Ruge... Nasema kuhusu yeye kumkana na kumtupa baba yake... Huku yeye leo anafanya yale yale..!!Kwa hiyo Mondi akimsaidia Ruge ndio ataiona pepo ?