sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Nasemaje kuna Diamond Platnumz mmoja tu hapa Tanzania na mpinzani wake ni Nassib Abdul.
Mtapiga kelele zote mzimalize ila maji na mafuta hayakai pamoja daima. Muda ukifika hata ufanye nini vitajitenga tu.
Mkesha wa leo Diamond kafanya show ya kihistoria.
Quality ya performance haijawai kufanyika na mtu yoyote tangu Nyerere atuletee uhuru.
Production ulikuwa level za dunia ya kwanza. Stage, sound, presentation, appearance, fans engagement 🔥🔥🔥
Watu wamelipa mil 7 kumuona Diamond na wamepewa thamani ya pesa yao na nyongeza kila mtu ameondoka Ramada akitabasamu.
Diamond = Greatest Of All Times
Wote tumshukuru Mungu kutujalia kumshuhudia Diamond tuna hadith ya kuwasimulia wajukuu zetu. Watu kama awa hawatokei mara nyingi.