Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Huyu dogo kapambana sana Big up kwake maana wanamziki walikua wanachukuliwa kirahisi sana mpaka yeye alipogoma na Clouds wakaleta zengwe zisipigwe nyimbo zake kisa madili ya zengwe...Dogo yupo juu na anafanya vizuri niliwahi enda Nchi fulani nikakuta jamaa wapo store wanapiga nyimbo zake hawaelewi ila wanaimba kama Watanzania wanavyoimba nyimbo za DRC..