Diamond afanya show nzuri kuwahi kufanyika kwenye history ya muziki wa Tanzania

Diamond afanya show nzuri kuwahi kufanyika kwenye history ya muziki wa Tanzania

View attachment 2465064

Nasemaje kuna Diamond Platnumz mmoja tu hapa Tanzania na mpinzani wake ni Nassib Abdul.

Mtapiga kelele zote mzimalize ila maji na mafuta hayakai pamoja daima. Muda ukifika hata ufanye nini vitajitenga tu.

Mkesha wa leo Diamond kafanya show ya kihistoria.

Quality ya performance haijawai kufanyika na mtu yoyote tangu Nyerere atuletee uhuru.

Production ulikuwa level za dunia ya kwanza. Stage, sound, presentation, appearance, fans engagement 🔥🔥🔥

Watu wamelipa mil 7 kumuona Diamond na wamepewa thamani ya pesa yao na nyongeza kila mtu ameondoka Ramada akitabasamu.

Diamond = Greatest Of All Times

Wote tumshukuru Mungu kutujalia kumshuhudia Diamond tuna hadith ya kuwasimulia wajukuu zetu. Watu kama awa hawatokei mara nyingi.
Ukweli mtupu,Kijana wa Tandale ameupiga mwingi,
Huyu ilibidi sanamu yake iwekwe pale daraja la Tsnzanite,
Kama Brazil Wana Pele,sie East Africa(sio bongo tu)tuna Diamond!!
 
View attachment 2465064

Nasemaje kuna Diamond Platnumz mmoja tu hapa Tanzania na mpinzani wake ni Nassib Abdul.

Mtapiga kelele zote mzimalize ila maji na mafuta hayakai pamoja daima. Muda ukifika hata ufanye nini vitajitenga tu.

Mkesha wa leo Diamond kafanya show ya kihistoria.

Quality ya performance haijawai kufanyika na mtu yoyote tangu Nyerere atuletee uhuru.

Production ulikuwa level za dunia ya kwanza. Stage, sound, presentation, appearance, fans engagement 🔥🔥🔥

Watu wamelipa mil 7 kumuona Diamond na wamepewa thamani ya pesa yao na nyongeza kila mtu ameondoka Ramada akitabasamu.

Diamond = Greatest Of All Times

Wote tumshukuru Mungu kutujalia kumshuhudia Diamond tuna hadith ya kuwasimulia wajukuu zetu. Watu kama awa hawatokei mara nyingi.
Diamondo kawa mweupe? Kweli Mungu mkubwa
 
Ila aisee diamond yupo vizuri na ndio maana anafanikiwa kimziki binafsi sikutegemea kama atapiga show ya class ile yupo full package nawasifie kwa mara ya kwanza Wasafi kwenye show sound ya mziki ilikuwa nzuri sijui sound engineer alikuwa nani? Na kingine kilichonivutia mambo sijui mikono juu alijitahidi isiwepo, ubunifu wa stage na mandhari yaliokuwa yanabadilika that was unique, uingiaji wake wa stage na quality aliyoonesha ya kuimba ilinivutia, team nzima ya band na pamoja na chemistry waliitengeneza was fantastic I was like it. Mwisho kabisa nimpongeze amefanya show Kali
"I was like it",!! Watanzania bwana ,kujifanya wajuaji lakini ukifika kwenye English mbuzi wana afadhali!
Kiingereza cha wapi hicho?!
 
Sasa kama mashabk wake wengi ni choka mbaya,, anawezaje kuendesha maisha ya gharama namna hii like kuishi nyumba ya thamani kubwa, magari anayomiliki, kampuni alizowekeza,

Ndie msanii mwenye kuchaji dau la juu ktk shows zake iwe ndani au nje ya nchi, msanii mwenye followers wengi nchini kwenye mitandao yake ya kijamii na mengne mengi tu

Kwa kifupi tuache wivu wa kipuuzi na tushirikishe ubongo vzr tunapochallenge kitu

Sio lazima uwe shabk wake ila tuappreciate jitihada zake ukilinganisha alipokuwa miaka ile mpaka sasa alipo,, ni role model wa wasanii wengi nchini
Sawa Zuchu umesikika,
Haya nenda kamkatikie mpenzi wako
 
View attachment 2465064

Nasemaje kuna Diamond Platnumz mmoja tu hapa Tanzania na mpinzani wake ni Nassib Abdul.

Mtapiga kelele zote mzimalize ila maji na mafuta hayakai pamoja daima. Muda ukifika hata ufanye nini vitajitenga tu.

Mkesha wa leo Diamond kafanya show ya kihistoria.

Quality ya performance haijawai kufanyika na mtu yoyote tangu Nyerere atuletee uhuru.

Production ulikuwa level za dunia ya kwanza. Stage, sound, presentation, appearance, fans engagement 🔥🔥🔥

Watu wamelipa mil 7 kumuona Diamond na wamepewa thamani ya pesa yao na nyongeza kila mtu ameondoka Ramada akitabasamu.

Diamond = Greatest Of All Times

Wote tumshukuru Mungu kutujalia kumshuhudia Diamond tuna hadith ya kuwasimulia wajukuu zetu. Watu kama awa hawatokei mara nyingi.
Nikimaliza kutafakari gharama za kiingilio ndio nitajiunga na Zogo lenu,
Inamaana watu wawili Mr&Mrs fulani walilipa Milioni 15!? Na baada ya Onyesho wakarudi kulala nyumbani!?
 
Wasanii wa bongo ubunifu wao ni mara wapande stejini na vitanda, wheelchair, pikipiki, baiskeli, malori ya mizigo, mikokoteni, yaani full ushamba ushamba tu hata hawaeleweki ndio maana harmo alivunja kiuno alipoanguka kama furushi la maharage
[emoji1]

Ova
 
-Bongo harmonize ndio msanii bora anajua kuimba ana kipaji na hatumii nguvu nyingi, wakati Diamond anatumia nguvu nyingi sana Machawa, Media zake,kiki nk nk,
-bottom line kama kweli Diamond ana pesa si alipe Kodi yake tu ya 700M? Kamishna Mkuu wa TRA amuandikie Demand Notice apewe ultimatum akishindwa wauze Mali zake Ili kufidia Kodi,i.e wakamate Rolls-Royce,au Nyumba au magari mengine, (kama alikuwa hajalipa)
 
Walipoambiwa ni kikundi cha wahuni sio lebo walijiliza mji mzima...leo hii hawajulikani walifia wapi na genge lao la mabange [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Alijaribu kufanya show kwenye sebule flani masaki kilichomtokea hatosaahau [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika wew Ni chawa wa Platinum

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom