Diamond afanya show nzuri kuwahi kufanyika kwenye history ya muziki wa Tanzania

Diamond afanya show nzuri kuwahi kufanyika kwenye history ya muziki wa Tanzania

Mkuu show ilikuwa Ramada kwa kiingilio cha million 7.5

Ila pia ilioneshwa live Wasafi Tv.

Imagine uku Wasafi Tv diamond anaoneshwa.

Uku TVE alikuwa mwamposa live.

Guess what!? Kuna mtu kafunikwa viewers wa tukio lake na Diamond mtoto wa Tandale. Ila huu ni mjadala wa siku nyingine.
Acha kujikweza wengi memlipa 100K hiyo 7.5 M atakuwa wamelipa wasiopungua 2.
 
View attachment 2465064

Nasemaje kuna Diamond Platnumz mmoja tu hapa Tanzania na mpinzani wake ni Nassib Abdul.

Mtapiga kelele zote mzimalize ila maji na mafuta hayakai pamoja daima. Muda ukifika hata ufanye nini vitajitenga tu.

Mkesha wa leo Diamond kafanya show ya kihistoria.

Quality ya performance haijawai kufanyika na mtu yoyote tangu Nyerere atuletee uhuru.

Production ulikuwa level za dunia ya kwanza. Stage, sound, presentation, appearance, fans engagement 🔥🔥🔥

Watu wamelipa mil 7 kumuona Diamond na wamepewa thamani ya pesa yao na nyongeza kila mtu ameondoka Ramada akitabasamu.

Diamond = Greatest Of All Times

Wote tumshukuru Mungu kutujalia kumshuhudia Diamond tuna hadith ya kuwasimulia wajukuu zetu. Watu kama awa hawatokei mara nyingi.
Mwambie mumeo asiwe anaongeza 00. TRA watammaliza.
 
Back
Top Bottom