Sorry bro wewe ni mmakonde?-Bongo harmonize ndio msanii bora anajua kuimba ana kipaji na hatumii nguvu nyingi, wakati Diamond anatumia nguvu nyingi sana Machawa, Media zake,kiki nk nk,
-bottom line kama kweli Diamond ana pesa si alipe Kodi yake tu ya 700M? Kamishna Mkuu wa TRA amuandikie Demand Notice apewe ultimatum akishindwa wauze Mali zake Ili kufidia Kodi,i.e wakamate Rolls-Royce,au Nyumba au magari mengine, (kama alikuwa hajalipa)