Diamond afanya uwekezaji mkubwa kwenye betting...Atambulisha rasmi Wasafi betting

Ubalozi wa ile kampuni ya kubeti jina limenitoka si itabidi uishe sasa au?
 
Ukifukunyua ndani unakuja kupata yeye ni share holder labda, au brand ambassador, ila muhimu mpunga unaingia
 
Ukifukunyua ndani unakuja kupata yeye ni share holder labda, au brand ambassador, ila muhimu mpunga unaingia
Ebu fukunyua tumkamate huyu brand ambassador πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ngoja tusubilie yule aliyesifiwa kifua na mama tuone atatambulisha nini
 
Diamond atoa somo kubwa kuhusu branding, katengeneza branda kupitia brand yake anapata wawekezaji mwisho wa siku wanagawana asilimia,yy mtaji wake ni jina tu la WASAFI.
 
Diamond atoa somo kubwa kuhusu branding, katengeneza branda kupitia brand yake anapata wawekezaji mwisho wa siku wanagawana asilimia,yy mtaji wake ni jina tu la WASAFI.
WATANZANIA WALIO WENGI WAMEWEKEZA KWENYE UMBEA NA MAJUNGU. KAMA KUNA KAMPUNI INAHITAJI TEAM ZA MAJUNGU ZIJE BONGO.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…