Armani William
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 248
- 744
Haujui yaliyo nyuma ya pazia hivyo ni lazima usifie. Swali la kujiuliza ana mguvu kiasi gani ya kufanya maamuzi kwenye hizi kampuni?Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji.
Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting.
Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa movement zake sio kumjengea chuki.
View attachment 2023903
Inakuuma Mku Ndugu kusema Diamond anatoa somo, ndio maisha hamuwezi kuwa sawa, wewe endelea kuumia Mkuu Ndugu, mimi nitaendelea kupost ninachotaka.Na wewe unatoa somo kuhusu nini ??
Aisee, miaka inakatika lakini tabia ya u haea imekuganda tu.
Kaombewe mkuu.
Hali tete.
Nilikuwa namjibu huyo jamaa hapo juuSio uongo mkuu, ingia kwny page ya odibets uone... wasafi bet ni tawi lao na kibongo ipo chini ya diamond kama co owner
Dunia imejaa unafiki sana.Tutajengea msikiti kuzisafisha
Sahihi kabisa, unachukuwa fedha za wengi unampatia mmoja kidogo (mshindi) na wengine wanaona sawa tu.Kubet dhambi
Dini zinakataza mangapi na binadamu wanafanya mangapi waliyokatazwa?Lakini dini yake si inakataza au ni sawa tuu akifanya?
Sasa Mkuu Ndugu mimi sipo humu kujulikana nipo humu kuwasilisha ninacho kitaka.Wala usiwe na wasi, ni mali yako kwa matumizi yako.
Nimekurahishia watu wakujue, hakuna haja ya kujificha ficha kwenye maneno.
Endelea KUPULIZWA mpaka uzae mwaka huu
ngoja tusubilie yule aliyesifiwa kifua na mama tuone atatambulisha nini
Kwani muziki uliompa umaarufuLakini dini yake si inakataza au ni sawa tuu akifanya?
Endelea KUPULIZWA mimi sina pingamizi.Sasa Mkuu Ndugu mimi sipo humu kujulikana nipo humu kuwalisha ninacho kitaka.
Sasa kama unaumia ni ww umechagua kuumia Mku Ndugu kwa kusoma post zangu na sija kulazimisha Mkuu Ndugu ni ww shobo zako kudandia post za wanaume.
Mkuu sijaelewa nini haswa kinakuumiza kusifia kijana mwenzetu kuendelea kuongeza uwekezaji?Haujui yaliyo nyuma ya pazia hivyo ni lazima usifie. Swali la kujiuliza ana mguvu kiasi gani ya kufanya maamuzi kwenye hizi kampuni?
Hongera kwa Sadala, Hiyo logo style yake sijaisomaDiamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji.
Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting.
Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa movement zake sio kumjengea chuki.
View attachment 2023903
sawa bi Sandra
Hakuna zambi kubwa ama ndogo..kabla ya kumhukumu mtu jiangalie wewe kama ni msafi.Sahihi kabisa, unachukuwa fedha za wengi unampatia mmoja kidogo (mshindi) na wengine wanaona sawa tu.
Ni ishara ya umasikini uliokithiri kushabikia kamari.