Diamond afikisha followers Milioni moja Instagram

chagga land

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
394
Reaction score
95
hatimae rais wa wasafi duniani na kwenye galaxy,baba wa mtoto mwenye jina kubwa duniani na mwanamziki mwenye mkwanja mrefu kuliko wasanii wote afrika mashariki na kati anaetingisha na nyimbo ya nana ambayo imepata nomination za kutosha zaidi ya nyimbo yoyote afrika nzima na inayokaribia kuwa na viewers wengi sana youtube,prof of proffesors asali ya warembo na ambae hachuji kwa kila anachokitoa diamond platnumz afikisha followers milion moja instagram! wapi kiba na shoo za mchambawima!!
 
Hongera kwa kuanzisha thread...
 
Kuna kitu kinaniumiza kichwa, inasemekana bwana mdogo alikiba anamashabiki wengi sasa najiuliza inawezekana shabiki wa damu wa alikiba hujamfollow alikiba afu umemfolllw diamond? kwa mantiki ipi?

au ni kma kawaida ya bwana mdogo kutafuta kiki kupitia Raisi wa Wasafi dunia nzima? Naona ni mfano wa nyau anaejiona kama simba hivii, onatakiwa wamfollow afikie hta idadi ya followers wa Zari maana ni aibu
 
Kuna kitu kinaniumiza kichwa, inasemekana bwana mdogo alikiba anamashabiki wengi sasa najiuliza inawezekana shabiki wa damu wa alikiba hujamfollow alikiba afu umemfolllw diamond? kwa mantiki ipi?

au ni kma kawaida ya bwana mdogo kutafuta kiki kupitia Raisi wa Wasafi dunia nzima? Naona ni mfano wa nyau anaejiona kama simba hivii, onatakiwa wamfollow afikie hta idadi ya followers wa Zari maana ni aibu Shardcole cute b pwilo miss lincoln sumbai
 
Last edited by a moderator:

Wiki chache zilizopita msanii kutoka Nigeria Davido aliweka headlines baada ya kufikisha followers Milion 1 kwenye Instagram, na kabla ya hapo Wizkid nae aliingia kwenye hesabu ya mastaa wa Africa wenye idadi kubwa sana ya followers kwenye mtandao huo.




Safari hii ni time ya msanii kutoka Tanzania kuweka headlines zake kwenye kurasa zasocial networks… ukipita kwenye page ya Diamond Platnumz sasa hivi utaona mabadiliko kwenye idadi ya followers alionao… idadi ya followers kwenye page yaDiamond sasa hivi imegonga MILLION 1!!



Hii inaonyesha wazi kabisa kuwa mtu wetu Diamond Platnumz anakubalika na idadi kubwa sana ya watu.




 

Asante kwa taarifa mkuu tupo bize tunahubir mabadiliko
 
Last edited by a moderator:
Kiding ain't nothing jus a number hata mziwanda ana followers wengi kuliko mavoko nothing New
 
Last edited by a moderator:
Hivi vizazi vya mzee benja na jk hasara tupu. Badala ya kufanya na kufikiri mambo ya msingi, kazi kuangalia wasanii wanafanya nini...
 
Hivi Ile kampeni ya kumu unfollow inst baada ya kuonesha kuisupport ccm nilitegemea kuona poromoko la followers sasa imekuwaje tena wamezidi au mulimu unfollow in additional way?? Eti pwilo na Shardcole can any of u help me to understand pulizzzzzz??
 
Last edited by a moderator:
Ujinga mtupu

Na ni ujinga kweli tena wa hali ya juu how possible eeeh!! Watu tufanye kampeni ya kumuunfollow alafu eti badala ya followers kupungua kwa kasi ya gesi ndio kwaaanza wamezidi,hivi nani mwenye akili timamu anayeweza kuvumilia ujinga kama huu??eti Shardcole???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…