Kuna kitu kinaniumiza kichwa, inasemekana bwana mdogo alikiba anamashabiki wengi sasa najiuliza inawezekana shabiki wa damu wa alikiba hujamfollow alikiba afu umemfolllw diamond? kwa mantiki ipi?
au ni kma kawaida ya
bwana mdogo kutafuta kiki kupitia Raisi wa Wasafi dunia nzima? Naona ni mfano wa nyau anaejiona kama simba hivii, onatakiwa wamfollow afikie hta idadi ya followers wa Zari maana ni aibu
Shardcole cute b pwilo miss lincoln
sumbai